Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

Dodoma comfort

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
492
Reaction score
925
Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250614-125302.jpg
    153.4 KB · Views: 60
Mtoa post kama umefikisha miaka 25 na ukaweza kudhibitisha...nenda kwa wakala nitumie namba ya wakala uchukue pesa yako

Utoto utoto utoto
Hizi sio mada za kujadilia kwa karne hii
Ngoja twende kwenye dm ya rajabu
 
Mtoa post kama umefikisha miaka 25 na ukaweza kudhibitisha...nenda kwa wakala nitumie namba ya wakala uchukue pesa yako

Utoto utoto utoto
Hizi sio mada za kujadilia kwa karne hii
Ngoja twende kwenye dm ya rajabu
Hahah nenda tu mkuu angalia usiungue kama.sodoma na gomora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…