Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

So mfanyakazi wako ukimwambia kampuni itakulipa baada ya siku chache kisha ukamlipa baada ya miaka 4 akilalamika utamuambia "Saa chache huwa ni masaa mangapi? Na siku chache huwa ni siku ngapi? Just asking

Au siyo?
Wote mna hoja, mtu anaweza hutubia leo, akafariki kesho kabla masaa ishirini na nne kutimia, ukisema masaa machache baada ya hotuba sidhani kama ni kosa. Muda unapimwa kwa masaa, dakika, sekunde, na vitu kama hivyo. Kwenye issue ya kusema Bush aliitwa Mbwa na sio Shetani hapo amekengeuka. All in all message delivered.
 
Kwahiyo hapa sisi hatujielewi kwakua hatujaomba specific date ya siku chache zilizomaanishwa na mleta uzi?
Mimi sijasema hivyo.ila mtoa mada hakuna alipokosea pia kwa sababu saa chache na siku chache can be anything out of many
 
Hakuna usmart hapo,mbona anashidwa kujibu masaa machache maana yake ni saa ngapi na siku chache maana yake ni siku ngapi?
Dah sijaja kubishana. Mimi na wewe tunaachiana hapa.
 
Watu lazima mtambue maana ya kuwa superpower, tolerance for your actions ni moja ya qualities unazopaswa kuwa nazo.

USA hakuwa superpower kijingajinga kama wajinga wachache wanavyofikiri, historia ya falling of pacific giant (Japanese red arm and kamikaze) inatufundisha kitu..

Dunia iko mikononi mwa watu na sio kila mtu aishi tu anavyotaka, hapana lazima kuwe na controlling ili wapumbavu wachache kama Kim wasiifanye dunia kuwa chungu, Fikiria leo eti IRAN au IRAQ wangekuwa super power nini kingetokea??.

Acha dunia iwe chini ya mikono ya wachache na wao ndio waamue game kuliko vipumbavu vichache vinavyotaka kutesa raia wake kisa kubishana na USA..
 
Mkuu taratibu mkuu,wasiojulikana bado wapo mkuu hii corona haijawamaliza
 
Sasa tukiwa la tano tulifundishwa kwamba.

Saa 24 ni siku moja.

Siku 7 ni juma moja.

Majuma 4 ni mwezi mmoja.

Miezi 12 ni mwaka 1.

Miaka 10 ni muongo mmoja.

Miongo 10 ni karne 1.

Umesema hapo kua saa 24 zisipopita mtu anaweza kuandika baada ya saa chache. Haya Chavez anaenda kuhutubia saa 24 zishapita na ndiyo maana akasema "... alikuepo hapa jana..." hakusema "... alikuepo hapa saa chache..."

Chief mi hapa sishindani kua na hoja au kutokua na hoja. Nimeandika kitu ambacho kipo. Sijijui anataka tubishane. Am out
 
Mkuu mbona unanionea sana? Mimi nimeuliza tu kwamba saa chache ni masaa mangapi na siku chache ni siku ngapi? Au kuuliza siku hizi ndo kubishana?
 
Ile meeting na Trump haikuwa just meeting,yeye anatumia nguvu wenzake wanatumia akili,si atume Sasa zile kombora zikalipue kifo asife.Miaka 5 iliyopita nilisoma article kwamba Kipanki alidungwa mbu drones mwenye sumu ya kuattack heart leo yametimia.
Yupo yule wa Puerto Rico anawananga na kuwalaumu mabeberu kila siku juu ya kushindwa kwake,wanamuangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…