Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

Nataka kufahamu jambo moja,hivi wanatuona watu daraja la mwisho kwasababu ya rangi yetu au kwasababu ya umasikini wetu? Tungekuwa na uwezo wa kiuchumi kiteknolojia kuwazidi wao je bado wangeendelea kutuona watu wa daraja la chini kwasababu ya rangi yetu?
 
Kweli mkuu,niliposoma kitabu A TOWN LIKE ALICE,.nikawa na maswali why waJapan walikua na roho mbaya sana kipindi cha vita ya pili ya dunia??nikapata jibu kua jeps walikua wanaamini kua wao ndio jamii bora zaidi duniani kwamba wao pekee wanastahili kuishi,angalia hitler alichofanya,angalia palestine,angalia wakulima na wafugaji
 
Walikuwa wanaongea Kiarabu?? Au Kiingereza?? au Kiyunani?? Au Kiyahudi??(joking 😃)

Lakini si jambo rahisi kuyatekeleza hayo yote, mwanadamu kwenye jamii yuko kama harufu kwenye upepo, hatawaliki kirahisi, hasa kipindi hiki cha mapinduzi makubwa kiteknolojia.Mwanadamu hatawaliki, na hatotawalika kamwe.

Any way mwanadamu ni kiumbe mbinafsi sana asipojicontrol au kucontroliwa, it's nature.
Kuna kipindi nilipata wageni nilijikuta tu sitaki hata wavute hewa nnayovuta? Ilikuwa taabu sana na patashika, najitahidi kujicotrol tu.

Kwa hivyo huwa tunalaumu wanaofanya kwa UKUBWA, hiyo experience ilinipa kutafakari sana nafikiri nilitakiwa kujifunza jambo hili kwa mapana, mwanadamu akipata nafasi, mamlaka, uwezo huwa kiumbe cha ajabu sana.

Mungu pekee tunapompa nafasi anatufunga speed governor.

Mungu atusaidie sana.
 
Na siku za usoni kutakuwa hakuna hata haja ya Watumwa watabakia AI na waliozitengeneza.

Hii ni Planet of the Apes 👈
Mimi nipo ajenda tofauti kabisa na hiyo inayoisema..But ur right sababu kuna vikundi zaidi ya kimoja vya mwanadamu vinapambania kuimiliki dunia hii
 
Binadamu kiasili sisi ni wabinafsi
 
Yeah upo sahii angalia serbia na bosinia na yemeni na DRC na somalia kwa uchache tu!!
 
Dunia Iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo Kuna watu wao wanajiona wamezaliwa Ili kufanya domination Kwa wengine, hii imeambukiza Dunia nzima. Kuna watu au jamii hujikuta wao ndio noble race au master race kuliko wengine wote duniani, hii mentality ndiyo imeharibu hii dunia, seek for domination and supremacy. Na kuambukiza hadi katika local regions huku afrika, gawa uwatawale.

Kule Asia wale wahan wanajikuta wao ni watu bora sana kushinda wengine, Bhutan (India) wale wahindi weupe wa kaskazini hujikuta ni bora kuliko wenzao wa kusini. Japan nayo walijiona wao ni bora kuliko majiran zao wote, ujerumani nayo Hitler alitengeneza mentality yakuwa wao ni master race hivyo dunia nzima na watu wake ni takataka, Kuna wazungu hasa wale blonde hair, blue eye, hujiona wao ndio race yenye hadhi ya juu kuliko zote duniani hujiona kama royal bloodline vile, ulaya wafalme wengi na ndugu zao wapo hivyo ni blonde hair, blue eye basi ndo hujiona bora kuliko yeyote, all reasons behind ni supremacy and domination.

Pawns ndo sisi, bahati mbaya au nzuri jamii za kiafrika nyingi hazina hii mentality ya kutoka twende tukatawale na kudominate race nyingine, wewe angalia popote alipo mzungu lazima akudominate direct au indirect Kwa kukutengenezea mazingira ya kukufanya wewe umtegemee yeye bila hata kujitambua au kujifahamu kama ni kamchezo aidha umtegemee Kwa mawazo, njia, ushauri, fedha, mali nk.

Ili uishi kwa raha lazima higher domination iwepo na ndo mvurugano unapoanza maana lazima uue, upore, uibe, uchonganishe nk hii ndo mentality ya jamii za wenzetu kwa kutumia upumbavu wetu Africans tulionao.
 
S
Sio kwamba hicho kikundi chenu ndio CCM yenyewe?? Maana wanavyotufanyia ni sawa na hayo hayo.
 
Ili uishi kwa raha lazima higher domination iwepo na ndo mvurugano unapoanza maana lazima uue, upore, uibe, uchonganishe nk hii ndo mentality ya jamii za wenzetu kwa kutumia upumbavu wetu Africans tulionao.
Wazungu manawasingizia......wale waliokuwa wanatembea na Noah Nyeusi kipindi cha Yule Bwnaa walitumwa na Ngozi nyeupe?

Africa mnatawaliwa kwa ujinga wenu wenyewe
 
Up Upo sahii kabisa ndugu
 
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.

Uislam hauna safu za uongozi (hierarchy).

Uislam upo kwa ajili ya watu wote bila kubaguwana. Kwa Mwenyezi Mungu mbora kati yetu ni mcha Mungu tu.

Ukiona au ukisema kuna dini nyingine, basi hiyo ni ya upeo wa kibinadam siyo kwa Mwenyezi Mungu.

Unangoja nini kuwa Muislam?
 
Dini ya waarabu kinachokupeleka mbinguni sio dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…