Hakuna matabaka ndani ya Uislam, unajisumbuwa tu.
Nimekuuliza maswali umeshindwa kujibu hata moja. You are too low kujiita mtafiti wa historia.
Uende ukatafute matabaka ya Uislam na Qur'an ambayo ni mwongozo wa elimu ya Kiislam upo, huijuwi. Unaogopa hata kuisoma.
Jibu maswali yangu huko juu, sitaki porojo zako au za mjombako, ukiongea kuhusu Uislam uongee kutoka kwenye Uislam, siyo wako huo wa kusadikika.
You are simply an amateur (wa mchangani wewe). Kafanye homework yako vizuri au kadanganyane na mapoyoyo wenzako huko.
Jifunze Uislam kupitia Qur'an:
Qur'an 3:103.
Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka.
103