Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #41
YeahSoma mstari wa mwisho uliqoute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahSoma mstari wa mwisho uliqoute.
Kimsingi Hili lipo hata bila kuangalia hivyo vikundi vya Kisiasa na dini ila hata kwenye maisha ya kawaida mtu akiwa na kauwezo kidogo anataka kulambwa miguu,kunyenyekewa so Iko namna hiyo.Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na kikao kilikua kirefu ila maazimio yao yalikua kama yafuatayo:
1: Hakuna kushirikiana kujenga himaya za kisiasa na jamii za watu wasio wa jamii yetu kwa sababu kiasili wao ni vizazi vya watumwa.
2: Ngozi yetu ndio ngozi bora kuliko jamii yoyote na tuna haki ya kutawala dunia nzima na kuzifanya jamii nyingine vijakazi na watumwa.
3: Asiyefuatisha mitizamo yetu na tamaduni zetu hafai hata kua mtumwa auawe.
4: .Haki ya kuwafanya wengine watumwa ni yetu pekee kwa sababu ya ubora wa rangi na ngozi yetu
5: Dunia nzima ni haki yetu kuimiliki na ni haki yetu kuwalazimisha watu wengine wafuate mitazamo yetu na itikadi zetu na utaratibu wa maisha yetu.
6: Wapinzani wetu wakuu wametuwahi kwa ushawishi wa mda mrefu ila tutumie nguvu kuuondoa bila majadiliano.
7: Sisi ndio jamii bora duniani hivyo tusiruhusu jamii duni ziingize damu katika jamii yetu.
8: Watu wa jamii zote duniani ni watumwa wetu hivyo tujitahidi kupoteza tamaduni zao na lugha zao na kuwapandikiza lugha na ushawishi na tamaduni zetu ili tuvifute vizazi vyao baada ya milenia moja.
9:Imani ndio njia pekee ya kukusanya wafuasi wa kutufanyia kazi zetu na tuwatumie kama madaraja ya kufikia malengo yetu.
Hayo ni malengo tisa ya wafuasi wa kikundi hicho na mikakati yao ya kuitawala dunia baada ya miaka elfu moja kuanzia 2020 na wamejipanga kuitimiza kwa gharama yoyote ile.Baada ya kikao kile na wao viongozi kujipangia majukumu nikahitimisha kitu kimoja katika utafiti wangu wa akili za binadamu na mapokeo yao.
Binadamu wengi duniani wa madaraja tofauti ya akili yanayopelekea kua na maadhimio na maoni na maamuzi ya nje ya ubinadamu.Hainiingii akili kujiharasishia kuua au kumfanya mtumwa binadamu mwenzio kwa sababu ya rangi yake au tamaduni yake au imani yake na wewe kujipa hadhi ya kuhozi maisha yake na kumpangia namna ya kuishi.
Hivi mpaka karne hii kumbe kuna binadamu wana fikira za kujiona wao ni bora kuliko wengine na hii itapelekea migogoro katika hii dunia kutokuisha.Nimejaribu kufuatilia utekelezaji wa maadhimio ya kikao kile na nimeona sehemu mbalimbali duniani yanafanyiwa kazi ili kuja kutoa matokeo ya mda mrefu ujao.
Wakati binadamu mengine wanapenda amani basi kuna binadamu wana mikakati ya kuwatawala wengine katika nyanja zote. Wasiwasi wangu ni kwa jamii zetu wabantu maana naona ndio kama tutakua wahanga wakubwa wa dhahama kama hizi kwa sababu hatujitambui na tumekataa kujitambua kwa makusudi kabisa.
Wakati wewe unapenda amani basi ujue kuna watu duniani hawapendi amani.Wakati wewe unapenda usawa basi ujue kuna watu duniani hawapendi usawa.Wakati wewe unapenda umoja basi ujue kuna watu duniani hawapendi umoja.
Wakati wewe unapenda binadamu wenzio basi ujue kuna binadamu wanakutazama wewe kama mtumwa au kijakazi au mtu wa daraja la chini,kwa sababu tu ya rangi yako ya ngozi na imani yako na asili yako.
Siwezi kuhitimisha kwa kusema binadamu ni wenye mapungufu ila naweza kuhitimisha kwa kusema binadamu wana utashi tofauti tofauti katika hii dunia.
Uislamu unazo safu za uongozi na ndio maana waanzilishi wake walikua na watumwa.Wanazuoni wa kiarabu na kiislamu walikua wanawaita wabantu au zenji abar kua ni watu weusi wa daraja la chini na wakiwajumuisha humo waamor na wanubi na wahabeshi na wabantu.Madaraja yalikuepo ndio maana walijiwekea utaratibu wa kuchukua vijakazi ili kuzalisha vizazi chotara na ilikua ni marufuku mtu wa daraja la chini ambalo lilijumuisha watumwa weusi kuoa kwao au kupata hadhi kama yao"""WALIJIITA RANGI YA MTUME NA HADHI ILIYOTUKUKA""".Hata wabantu waliobadili dini na kuacha dini za asili na kua waislamu bado walikua jamii ya watu wa daraja la chini na mfano mzuri ni kisiwa cha Zenjibar chini SEYYID SAID NA SEYYID MAJID NA SEYYID BARGHASHDini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Uislam hauna safu za uongozi (hierarchy).
Uislam upo kwa ajili ya watu wote bila kubaguwana. Kwa Mwenyezi Mungu mbora kati yetu ni mcha Mungu tu.
Ukiona au ukisema kuna dini nyingine, basi hiyo ni ya upeo wa kibinadam siyo kwa Mwenyezi Mungu.
Unangoja nini kuwa Muislam?
Umefafanua vizuri mkuuKimsingi Hili lipo hata bila kuangalia hivyo vikundi vya Kisiasa na dini ila hata kwenye maisha ya kawaida mtu akiwa na kauwezo kidogo anataka kulambwa miguu,kunyenyekewa so Iko namna hiyo.
Huko kwingine ni muendelezo.ila ni Asili ya ubinafsi ya binadamu.
Upo sahii mkuu ila sasa hapa watu waga wanakosea au wanajisahaulisha kimakusudi kitu kimoja wanawalenga wazungu tu na kusahau jamii za waarabu na wayahudi ambazo zote zina influence kubwa katiba bara africa.Mikopo ushoga,dini, kwa haya wamefanikiwa sana ahsante mkuu
Kwa sisi wataalamu wa saikolojia ya binadamu tunaona na ipo wazi uislamu ni ukoloni wa kiarabu..Kuanzia lugha inayotumika na mavazi yanayoutambulisha mpaka aina ya kuishi na utamaduni wa kufikiri.Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Uislam hauna safu za uongozi (hierarchy).
Uislam upo kwa ajili ya watu wote bila kubaguwana. Kwa Mwenyezi Mungu mbora kati yetu ni mcha Mungu tu.
Ukiona au ukisema kuna dini nyingine, basi hiyo ni ya upeo wa kibinadam siyo kwa Mwenyezi Mungu.
Unangoja nini kuwa Muislam?
Huna utaalam wa Saikolijia wa kuwazidi Waislam walioianzisha fani hiyo.Kwa sisi wataalamu wa saikolojia ya binadamu tunaona na ipo wazi uislamu ni ukoloni wa kiarabu..Kuanzia lugha inayotumika na mavazi yanayoutambulisha mpaka aina ya kuishi na utamaduni wa kufikiri.
Mfano mzuri ni wabantu wa Zenjbar walijinasibisha na uislamu na uarabu mpaka kufikia kuwaita wabantu wa bara WASHENZI na wao wakijiita WAUNGWANA ili kujinasibisha na WAARABU...
NB: USIPOJUA ULIPOTOKA HUWEZI KUJUA UNAPOKWENDA FAIZA
Waislamu walioanzisha hiyo fani ni binadamu wa kawaida waliokua na mapokeo ya mafundisho ya wanajimu wa waajemi wa kale na wagiriki wa kale.Huna utaalam wa Saikolijia wa kuwazidi Waislam walioianzisha fani hiyo.
Kumbuka hilo.
Nilichokieleza kuhusu matabaka ya kijamii ndani ya imani kiislamu ni sahii kabisa...Huna utaalam wa Saikolijia wa kuwazidi Waislam walioianzisha fani hiyo.
Kumbuka hilo.
Hayo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?Nilichokieleza kuhusu matabaka ya kijamii ndani ya imani kiislamu ni sahii kabisa...
Nadhani wewe sio mwanazuoni wa dini ya kiislamu na hujui maisha na tamaduni na mapokeo ya imani ya kiislamu.Ndio maana ukasema uislamu hauna matabaka..
NB:USIPOJUA ULIPOTOKA HUWEZI KUJUA UNAPOKWENDA
Dadangu mpendwa Faiza wewe ulisema dini ya kiislamu haina matabaka nikakujibu vizuri tu kwa maelezo yanayojitosheleza..Hyo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?
Uislam ni mmoja tu, Qur'an ni moja tu.
Imebidi nicheke tu. Yaani wewe uujuwe Uislam na useme upo sahihi kuliko Waislam wenyewe?
Tupe ushahidi wako wa kuwa "sahii kabisa".
Si unakijuwa kitabu kinachoitwa Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa kila Muislam?
Tunasubiri.
Hapana, hapo ndipo unapoonesha kutouelewa Uislam.Waislamu walioanzisha hiyo fani ni binadamu wa kawaida waliokua na mapokeo ya mafundisho ya wanajimu wa waajemi wa kale na wagiriki wa kale.
NB:Kumbuka saikolojia za dini za mwanadamu zina mapungufu sababu zipo ndani ya mwili na sio nje ya mwili.WANASAIKOLOJIA TUNAJUA HILO.
NB:USIPOJUA ULIPOROKA HUWEZI KUJUA UNAPOKWENDA
Nilikusoma sana, nikakuuliza, sasa badala ya kujibu nilichokuuliza unaleta porojo. Jikumbushe,nilikuuza hivi:Dadangu mpendwa Faiza wewe ulisema dini ya kiislamu haina matabaka nikakujibu vizuri tu kwa maelezo yanayojitosheleza..
Ebu rudia kusoma maelezo yangu toka mwanzo nilipoanza kukujibu utanielewa na pia ni vizuri kutumia lugha za staha bila matusi au jazba kujibu hoja kama msomi na mchambuzi anayeheshimika na jamii inayomzunguka
NB: HII MADA SIYO YA KIDINI BALI TUNAZUNGUMZIA MATENDO NA HULKA HALISI ZA BINADAMU KUPITIA RANGI,JAMII,DINI,SIASA NA UTAWALA KATIKA KUTAKA KUKANDAMIZA WENGINE
Dadangu mpendwa umeelewa nilichokujibu kuhusu huo uislamu ulioanzishwa na waarabu wa jangwani ambao ni binadamu wa kawaida kabisa kama wewe na walikua na tamaduni zao na utashi wao.Dini ni zao za utashi wa binadamuHapana, hapo ndipo unapoonesha kutouelewa Uislam.
Ndani ya Qur'an imeongelewa sana "nafs", hiyo ndiyo saikolijia yenyewe. Kaisome kijana, utafaidika sana.
Dadangu uzuri waga historia haijifichi na nikakupa mifano halisi kuhusu matabaka ndani ya jamii za kiislamu.Nimekuelezea vizuri pale mwanzoni nilipojibu swali lakoNilikusoma sana, nikakuuliza, sasa badala ya kujibu nilichokuuliza unaleta porojo. Jikumbushe,nilikuuza hivi:
Hayo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?
Uislam ni mmoja tu, Qur'an ni moja tu.
Imebidi nicheke tu. Yaani wewe uujuwe Uislam na useme upo sahihi kuliko Waislam wenyewe?
Tupe ushahidi wako wa kuwa "sahii kabisa".
Si unakijuwa kitabu kinachoitwa Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa kila Muislam?
Tunasubiri.
Dadangu mpendwa mimi kama mchambuzi wa historia ya mwanadamu.Nimekuelezea vizuri hapo juu kuhusu waanzilishi wa matabaka ndani ya jamii hizo zilizoutambulisha uislamu..Nilikusoma sana, nikakuuliza, sasa badala ya kujibu nilichokuuliza unaleta porojo. Jikumbushe,nilikuuza hivi:
Hayo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?
Uislam ni mmoja tu, Qur'an ni moja tu.
Imebidi nicheke tu. Yaani wewe uujuwe Uislam na useme upo sahihi kuliko Waislam wenyewe?
Tupe ushahidi wako wa kuwa "sahii kabisa".
Si unakijuwa kitabu kinachoitwa Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa kila Muislam?
Tunasubiri.
Naona unaendeleza porojo zisizo na mpango. Narudia:Dadangu mpendwa mimi kama mchambuzi wa historia ya mwanadamu.Nimekuelezea vizuri hapo juu kuhusu waanzilishi wa matabaka ndani ya jamii hizo zilizoutambulisha uislamu..
Uzuri wa historia ni kwamba waga haifutiki.
kichwa kichafuNaona unaendeleza porojo zisizo na mpango. Narudia:
Nilikusoma sana, nikakuuliza, sasa badala ya kujibu nilichokuuliza unaleta porojo. Jikumbushe,nilikuuza hivi:
Hayo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?
Uislam ni mmoja tu, Qur'an ni moja tu.
Imebidi nicheke tu. Yaani wewe uujuwe Uislam na useme upo sahihi kuliko Waislam wenyewe?
Tupe ushahidi wako wa kuwa "sahii kabisa".
Si unakijuwa kitabu kinachoitwa Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa kila Muislam?
Tunasubiri.
Sana tena, kupita maelezo ndiyo maana mnashindwa kuzijibu hoja za "kichwa chafu".kichwa kichafu
Mpendwa Dadangu Nimeshakujibu kila kitu kuhusu matabaka ndani ya uislamu hapo juuNaona unaendeleza porojo zisizo na mpango. Narudia:
Nilikusoma sana, nikakuuliza, sasa badala ya kujibu nilichokuuliza unaleta porojo. Jikumbushe,nilikuuza hivi:
Hayo matabaka uliyaanzisha wewe au mjomba'ko? Au uliisoma Qur'an ikakufundisha matabaka ya Uislam?
Uislam ni mmoja tu, Qur'an ni moja tu.
Imebidi nicheke tu. Yaani wewe uujuwe Uislam na useme upo sahihi kuliko Waislam wenyewe?
Tupe ushahidi wako wa kuwa "sahii kabisa".
Si unakijuwa kitabu kinachoitwa Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa kila Muislam?
Tunasubiri.