Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge?
Simba ilifungwa? Hapana
Imeshatolewa CAF CL? Hapana
Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa
timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
Huo unyonge unatokana na nini EATV?