Shida inakuja kwakua msemaji wa Simba kauli alizotoa kabla ya kuondoka ali uaminisha umma kua wapinzani wao ni wachovu na wanakwenda kushinda kule Ndola.
Matokeo yake Simba ndio waliosawazisha goli tena mara zote wakitokea nyuma na mwishoni jamaa walikua pungufu.
Dharau na maneno ya ajabu ya msemaji wenu ndio hupelekea waachezaji wenu kufikiri mambo ni rahisi kwa kiwango icho.
Simba ilishawahi kutolewa na UD songo, Gallaxy n.k pale Taifa kwa mambo ya dharau.
Wakiendelea na tabia iyo watakuja kutolewa tena apo Taifa au Chamazi.
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app