Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
[emoji16][emoji16][emoji16] dah..Hiyo ndio shida ya kuajiri watu wanaoujua kusoma na kuandika tu.
Chambua kichwani mwako sasa haina haja ya kutuambiaMimi Mpira nachambua mwenyewe Sina muda wakufuatilia au kusikiliza wachambuzi wa mchongo.... Mfano. Kibu Denice na Kanoute ni mzigo Kwa timu ya Simba... Vilevile kocha Hana maajabu yoyote. Kama Simba SC tukiendelea na Hawa watu watu sio muda tutalia na kusaga meno
HaujanielewaChambua kichwani mwako sasa haina haja ya kutuambia
Ndiyo kwa yule meneja njaa wa baadhi ya wachezaji, aliyepigwa picha wakati fulani huku akiwa amevaa kanzu chafu na yeboyebo!!! πUkitaka Wachambuzi wa kuisifia Simba hatakama inafanya vibaya nenda EFM
Wadada wa mtaani hao kama yule alikuwa mke wa meya.Tv zote na Redio bongo zimejaa wapuuzi tu.
Leo kwenye daladala saa 2 hiv sikumbuk ni radio station gani ile kulikua na kipindi ambapo ccm walikua wanaeneza agenda zao nadhan alikua kiongoz mmoja wa kinondoni.
Sasa mtangazi kabla ya kuanza kipindi akawa anaipa headlines CCM kwamba toka mwaka 1961 ndio chama kina fanya sijui hil na lile na blah blah zingine.
Nikajiuliza hiv huyu dada anaropoka tu hata asijuie kuwa hakukua na CCM hiyo 1961!! Hiv huwa wanatoa waoi hawa watangazaji wajinga wajinga wasioweza kuji update na information nyepes na rahis tena common kama hiz.Nikachukia kwel yan
Na huyo si mwingine bali ni Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga nambari moja.Ndiyo kwa yule meneja njaa wa baadhi ya wachezaji, aliyepigwa picha wakati fulani huku akiwa amevaa kanzu chafu na yeboyebo!!! π
kUwa mtangazaj afu hujui mambo mengi ni tatizoTv zote na Redio bongo zimejaa wapuuzi tu.
Leo kwenye daladala saa 2 hiv sikumbuk ni radio station gani ile kulikua na kipindi ambapo ccm walikua wanaeneza agenda zao nadhan alikua kiongoz mmoja wa kinondoni.
Sasa mtangazi kabla ya kuanza kipindi akawa anaipa headlines CCM kwamba toka mwaka 1961 ndio chama kina fanya sijui hil na lile na blah blah zingine.
Nikajiuliza hiv huyu dada anaropoka tu hata asijuie kuwa hakukua na CCM hiyo 1961!! Hiv huwa wanatoa waoi hawa watangazaji wajinga wajinga wasioweza kuji update na information nyepes na rahis tena common kama hiz.Nikachukia kwel yan
KUmbe na wewe ulisikia mkuu?π. Kichef chef kwel sema ndio hivyo radio ya usafi wa umma huwez sema zimaWadada wa mtaani hao kama yule alikuwa mke wa meya.
Presenters wengi sana now days hawajui mambo mengi mnoo tena yale basic kabisaaaakUwa mtangazaj afu hujui mambo mengi ni tatizo
Zaman tuliamin redio haiwez sema uongo
Wasomi oyaoya.... Utasikia wanabishana Urusi ipo chinakUwa mtangazaj afu hujui mambo mengi ni tatizo
Zaman tuliamin redio haiwez sema uongo
Kuna ukweli gani hapo? Simba labda kama ingefungwa tungeweza kusema hivyo, lakini hata kama bado wasingekuwa wanyonge kwani kuna nafasi kubwa ya kugeuza matokeo uwanja wa nyumbani.Mbona wameongea ukweli kabisa acha kuhukumu mzee