Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

Ukitaka Wachambuzi wa kuisifia Simba hatakama inafanya vibaya nenda EFM
Sitaki hata waisifie, wawe objective tu, timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari ineshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
 
Sitaki hata waisifie, wawe objective tu, timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari ineshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
Wao wanataka ukienda ugenini ushinde au ufungwe 😂
 
Huwenda wamelenga anarejea kinyonge sababu mwenzie kashinda ugenini.
Sass hapo ndio ukanjanja wao unapodhihirika, maana Simba kimataifa haishindani na Yanga

Yanga sio mshindani wa Simba kimataifa hata kidogo, Yanga walisema lengo lao ni kufika hatua ya makundi klabu bingwa baada ya kushindwa kwa miaka 25, Simba lengo lake ni kufika fainali na kutwaa kombe, sasa utalinganisha vipi timu hizi?
 
Reactions: Tui
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
Ni tofauti na walivyowaaminisha mashabiki wao..,tulidhani kuna mabadiliko yeyote...,kila siku ni story ya timu bado haijapata muunganiko!
 
Imekuwa ndivyo sivyo.
 
Ni tofauti na walivyowaaminisha mashabiki wao..,tulidhani kuna mabadiliko yeyote...,kila siku ni story ya timu bado haijapata muunganiko!
Waliwaaminisha mashabiki kuwa watapita hatua hii na kuingia makundi kitu ambacho bado kina uwezekano mkubwa zaidi sababu hawakufungwa
 
sasa wangerudi na ujasiri upi kwa mpira mbovu namna ile?

sawa wamatoa sare lakini ule ndio mpira wa Simba?

Hii ni simba, thimba, simbwaa, simmbwaa au makolo?
 
Inategemea unaona mzigo kwenye kipi?
Kibu denis ni mchezaji wa mpira wa kisasa
Ana kupa energy kila sehemu ya mchezo timu ikiwa ba mpira au ikiwa haina ndio maana zoran alimtumia Pablo alimtumia kaja na bwana Robertinho anamtumia pamoja na kwamba huyu simkubali na hana mbinu za maana ila kibu ni modern Player achana na anakosa mara ngapi ila ni modern player na hakuna kocha atakuja atamuweka nje kibu D
 
Sadio kanoute ni player mzuri sana
Kuna muda wachezaji wanakosa form kama jinsi wewe tu ambavyo unazingua kwenye kazi zako na yeye ni hivyo
 
Pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…