Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Aseeh leo nilikua nasikiliza kipindi Chao yaani walivyokua wanaongea kwa uchungu huwezi tofautisha kati ya shabiki na mchambuziUkitaka Wachambuzi wa kuisifia Simba hatakama inafanya vibaya nenda EFM
Wanafki wale...,wale ni mashabiki wa Simba sio Wachambuzi wa mpira!Aseeh leo nilikua nasikiliza kipindi Chao yaani walivyokua wanaongea kwa uchungu huwezi tofautisha kati ya shabiki na mchambuzi
Mpuuzi mwingine huyu hapa. Anashindwa hata kutofautisha shabiki na mchambuzi. Mimi ni shabiki naandika kinazi. Hata hilo dogo huna bongo ya kuelewa?Unawaona wenzako wapuuzi umesahau na wewe una nyuzi kibao za kipuuzi
Kwa hio kihasibu ni ushabiki?Mpuuzi mwingine huyu hapa. Anashindwa hata kutofautisha shabiki na mchambuzi. Mimi ni shabiki naandika kinazi. Hata hilo dogo huna bongo ya kuelewa?
Expectations za mashabiki ni timu kuingia makundi, na matokeo yale hayajahatarisha malengo hayo,Huwa unamsikiliza Msemaji wao/wenu?
Unachoshindwa kuelewa hapo ni nini. Tumia common sense bro.Kwa hio kihasibu ni ushabiki?
" Mpira mbovu namna ile" unavyosema utafikiri Simba imecheza mpira wa hovyo ikafungwa goli nne na kuendelea, kumbe imetoa draw , tena ya bahati mbaya maana kipa wa timu pinzani aliwaokoa sanasasa wangerudi na ujasiri upi kwa mpira mbovu namna ile?
sawa wamatoa sare lakini ule ndio mpira wa Simba?
Hii ni simba, thimba, simbwaa, simmbwaa au makolo?
Ulitaka waseme simba wamerejea kishujaaa tanzania kuna vituko sanaHapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge?
Simba ilifungwa? Hapana
Imeshatolewa CAF CL? Hapana
Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa
timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
Huo unyonge unatokana na nini EATV?
View attachment 2753576
Sio kishujaa, wangesema tu imerejea nyumbani, inatosha...sijaona haja ya kutilia chumvi, weledi uzingatiwe,Ulitaka waseme simba wamerejea kishujaaa tanzania kuna vituko sana
ukweli huwa unaumiza sana na kauchungu kwa mbali." Mpira mbovu namna ile" unavyosema utafikiri Simba imecheza mpira wa hovyo ikafungwa goli nne na kuendelea, kumbe imetoa draw , tena ya bahati mbaya maana kipa wa timu pinzani aliwaokoa sana
Kwa taarifa yako tu, Simba ina zaidi ya asilimia 75 ya kuvuka kwenda makundi ya klabu bingwa, hatua ambayo club nyingi kubwa Afrika (ikiwemo na Yanga) huwa zinaiota, Yanga wameiota kwa miaka 25, fikiria...! Umri wa mtu mzima....leo hii unapata ujasiri wa kuiponda Simba kutia sare ugenini?
tena watasonga mbele kwa magoli 5-0Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge?
Simba ilifungwa? Hapana
Imeshatolewa CAF CL? Hapana
Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa
timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita,
unasema imerudi kinyonge kwa sababu ipi?
Huo unyonge unatokana na nini EATV?
View attachment 2753576
Hawashindani lakini wote ni wa tz... Ni mshindani wake sababu wanatokea taifa moja, mimi ni mshabiki wa simba, so naona hivyo. Wako sahihi katika hiliSass hapo ndio ukanjanja wao unapodhihirika, maana Simba kimataifa haishindani na Yanga
Yanga sio mshindani wa Simba kimataifa hata kidogo, Yanga walisema lengo lao ni kufika hatua ya makundi klabu bingwa baada ya kushindwa kwa miaka 25, Simba lengo lake ni kufika fainali na kutwaa kombe, sasa utalinganisha vipi timu hizi?
Naamaanisha Simba ni level ya juu sana kwa Yanga kwenye stage ya kimataifa kiasi kwamba huwezi kuwa consider kama washindaniHawashindani lakini wote ni wa tz... Ni mshindani wake sababu wanatokea taifa moja, mimi ni mshabiki wa simba, so naona hivyo. Wako sahihi katika hili
Was uhasibu necessary [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hio kihasibu ni ushabiki?
Hua mnapenda wachambuzi wanao sifia timu zenuTasinia ya habari imevamiwa na kuvurugwa vibaya sana! Sio ktk soka tu ni Kila mahari, matumbo wametanguliza mbele kuliko taaluma zao. Sasa hao wachambuzi wa mpira ndio taka taka kabisa, mchambuzi wa mpira aliebakia nchi hii ni Ramadhani Mbwaduke tu.
Kwahiyo unataka kusema wasemaji wa Yanga huwa wanasema kwamba mechi ni ngumu na wanaenda kufungwa?Shida inakuja kwakua msemaji wa Simba kauli alizotoa kabla ya kuondoka ali uaminisha umma kua wapinzani wao ni wachovu na wanakwenda kushinda kule Ndola.
Matokeo yake Simba ndio waliosawazisha goli tena mara zote wakitokea nyuma na mwishoni jamaa walikua pungufu.
Dharau na maneno ya ajabu ya msemaji wenu ndio hupelekea waachezaji wenu kufikiri mambo ni rahisi kwa kiwango icho.
Simba ilishawahi kutolewa na UD songo, Gallaxy n.k pale Taifa kwa mambo ya dharau.
Wakiendelea na tabia iyo watakuja kutolewa tena apo Taifa au Chamazi.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We jamaa!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wasomi oyaoya.... Utasikia wanabishana Urusi ipo china