Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Asante kwa maelezo mazuri. Trump aendelee kukomaa katika hili. Nami ngoja nianze kupunguza matumizi ya fluoride kadiri inavyowezekana.
 
Hii kitu inaaribu ubongo na kupunguza uwezo wa kufikiri, uanaume, kufanya mifupa kuwa legelege.
Nina wasiwasi hata linavhangia hata haya mambo ya backpain, maana trend yake inaongezeka
 
Hata wewe hapa ulichofanya ni kuleta conspiracy theory, maana hiki ulichokiandika ni hisia zako na hakuna namna yoyote zikawa na ukweli.
 
Kuna mtu anayesoma Warning note kwenye Dawa za meno .. Umegundua Nini kwenye Yale maelekezo. ?
 
Nafuatilia mjadala.

Kuna mahali ulisema IQ haihusiani na ufaulu, vipi mbona hapo kwa Shinyanga umeulizwa ukajibu kwa kuangalia ufaulu wao wa darasa la saba? ( Kwamba ni mara ngapi waliwahi kushika mkia....). Focus ni ufaulu au IQ?
 
Nafuatilia mjadala.

Kuna mahali ulisema IQ haihusiani na ufaulu, vipi mbona hapo kwa Shinyanga umeulizwa ukajibu kwa kuangalia ufaulu wao wa darasa la saba? ( Kwamba ni mara ngapi waliwahi kushika mkia....). Focus ni ufaulu au IQ?
Focus Ni IQ ila IQ ikiwa Low Inaweza Kuhusishwa na ufaulu ila sio kigezo pia Na nimejibu kutokana na Alivyotaka nijibu..
Japo. IQ haihusiani na Ufaulu w Darasani ila Iko Sambamba kiasi
 
Fluoride ni sumu na ina Leta matatizo chungu nzima ya afya + udumavu wa akili , hizi toothpastes na idara za maji zinatumia hii sumu kufanya purification ya maji .
Ni ushenzi uliofumbiwa macho muda mrefu na wanaohusika kuna lengo wanalo ,kuna researches zimeshafanyika na chemists na neuroscientists wanasema jamii inayotumia maji ya kunywa yaliyofanyiwa purification na fluoride ina matatizo chungu mzima ya kiafya ikiwepo cancers na udumavu WA akili

I wonder idara za maji za hapa Bongo wanatumia chemical ipi kupurify maji yanayosambazwa kwenye mabomba humu mitaani kwa raia .
 
Ukiwachukulia watu wa Arusha kama hao sijui wadudu unaowasema je ni sahihi kusema moja kwa moja kwamba wako vile au wanaishi vile (kama vichaa nk) kwa sababu ya fluoride pekee ndiyo imewasababisha wawe vile?
 
Ukiwachukulia watu wa Arusha kama hao sijui wadudu unaowasema je ni sahihi kusema moja kwa moja kwamba wako vile au wanaishi vile (kama vichaa nk) kwa sababu ya fluoride pekee ndiyo imewasababisha wawe vile?
Sijasema Hivyo ila Nimesema Kulingana na Cognitive Behavior zao na ndo maana Nikasema "nulla offensa"...
Yaani no offense...Ila we Unawaonaje?

Mavazi Kuongea Na Jinsi wanavyojiweka "Is it mental Worth"?
 
Sijasema Hivyo ila Nimesema Kulingana na Cognitive Behavior zao na ndo maana Nikasema "nulla offensa"...
Yaani no offense...Ila we Unawaonaje?

Mavazi Kuongea Na Jinsi wanavyojiweka "Is it mental Worth"?
Kuna mtindo fulani wa maisha wanayoishi ndiyo, hasa vijana.

Lakini swali langu linabaki kuwa je ni sahihi kuhitimisha kwamba hao wakazi wa Arusha cognitive behavior yao haiko sawa kwa sababu ya fluoride? Are there no cofounders? Au hata vitu vingine tofauti kabisa na fluoride?
 
Fluoride au Chloride kwenye maji kwenye kiwango chochote ni sumu,kwa hiyo Trump ana haki kabisa ya kuipiga marufuku.Nimeshapigia kelele sana jambo hili hapa JF, lakini watu naona hawajali,they are complacent,wao ni Simba na Yanga tu.

Na mbona hata hapa kwetu tunawekewa kwenye maji?Niseme hivi,this is one of the NWO depopulation agendae,and there are many.Fluoride causes Cancer,inaharibu mfumo wa fahamu,kwa hiyo inafanya watu wawe wasahaulifu sana na wasiweze kufikiri vizuri.In short inaleta utindio , ubongo.Inaharibu pia meno nk.nk.

You can imagine siku hizi wanatuwekea wanavyoita virutubishi hata kwenye unga tunaokula kwa nguvu,why by force, kama ni kitu kizuri?There is so much poison directed against humanity,it is so sad.This is frankly a time bomb.

Lakini ukweli ni huu,Trump won't manage to stop the depopulation agenda,he is doing just a little bit,kama walivyofanya hapa kwenye kupiga marufuku viplastic vya aina fulani tu,while there is so much other plastic around us.

Kwa mfano,utashangaa kwa nini tuvae nguo za plastic,wakati tunazalisha pamba,and nobody seems to care.Infact siku hizi almost all that we wear is plastic!Again plastic health wise ni mbaya sana,na nimeshapiga kelele sana hapa JF kuhusu jambo hilo,lakini hakuna anayejali,it is business as usual.
 
Arusha Ni eneo lenye High level of Fluoride kwa Tanzania

The level of fluoride in Arusha, Tanzania iko Juu sana ambayo kwenye Water sources ina containing up to 30 milligrams per liter (mg/L)..

Tukianza na Arusha yenyewe studies ya 22 water sources in Arusha city ilifanyika na Kugundua kuwa fluoride concentration in spring water ranged from 4.1 to 5.3 mg/L, na Mito ina concentration of 3.6 mg/L. Wakati huo Boreholes au Visima Vya kuchimba vina fluoride concentration ranging from 4.97 to 8.2 mg/L.

Sasa Tukienda huko Meru, Longido, and Arusha Rural districts
Hizi wilaya zote ndo zina highest concentration of fluoride in Tanzania, with natural water reserves contaminated between 5 and 30 mg/L.

Cha kushangaza Tanzania Bureau of Standards (TBS)
Wamerecommend fluoride content zisizidi 4 mg/L, Sijui walifikiria Nini kuRuhusu Hiki kiasi Anywei tuwaschie wao Ila kiasi cha World Health Organization (WHO)ilichorecommend ni kwamba Fluoride isizidi 1.5 mg/L...

Sasa tuache Hizo preamble na Study nilizokuonyesha..
Moja ya Sababu za Kuwa na Incognitive Behavior na Kuwa na low IQ developemnt ni Matumizi makubwa ya Fluoride...

Sasa unataka Niamini Kuwa Kuna Njia nyingine inayowafanya watu wa Arusha kuwa psychs Incognito, Nionyeshe Ikiwa Ni tofauti na Hizo Studies..

Kwa mfano:-
Iaminike kwamba Kinachosababisha joto Dar es salaam ni kuwepo kwa Bahari, Viwanda na Msongamano wa Watu!

So ukikatataa Hizo sababu pengine Unaweza kuleta Sababu ambazo ziko correlated na Maoni yako Its scientific Proof against scientific Proof..

Tanzania Nzima Ukitaka Vijana ambao ni funny kwa Jinsi Walivyo iwe vijana iwe wazee Walivyo tu sisi Huwa Tunafurahi na kucheka utaambiwa Arusha..

Wewe unaita Watu wa Arusha ule ni mtindo wa Maisha??? Ule ni mtindio sio mtindo
 
Naweza kukukubali kote kasoro hapo kwenye IQ, umemezeshwa hata wewe conspiracy kwamba primitive societies wana low IQ
 
Kwa nini wana maendeleo makubwa kuliko mikoa mengi ya Tanzania??
Una Uhakika Maendeleo yamechangiwa na Wao au Na watu kutoka Sehemu mbalimbali..

Tanzania Hatuna serikali za Majimbo Hivyo kusema Sehemu moja Inamaaendeleo kuliko Sehemu nyingine Haiwezi kuwa sawa..

Mfano mzuri ungekuwa ni kwenye Nchi yenye Federal United of states..Kama Marekani hivi ambapo Majimbo yanajitegemea..
Ila Tanzania Yenye mikoa ambayo Bajeti yake inategemea Serkali kuu ifanye maendeleo hatuwezi kuwa na Ulinganishi huo kuwa Kwanini Dar Ina maendeleo kuliko Dodoma!

Hichi ni kipaumbele cha Serkali kwa Sababu Arusha Kuna Sehemu nyingi za Kitalii zipo kule Watalii wengi huenda Huko na Hata tukizungumzia Binadamu wa Kwanza kuishi alipatikana Pia Arusha usisahau hilo..

Kwa hiyo kwakuwa Ni kitovu cha Utalii Basi ikawa Ni Kipaumbele cha Serikali..

Lets Not forget Dodoma Ilivyokuwa Before Magufuli Kuhamisha Kuwa Makao makuu Rasmi ya Nchi na Kuifanya Kuwa Jiji!, Ilikuwa ni Mbovu sana Niliishi pale nikilinganisha na Sasa Ni tofauti kubwa Sana..

So maendeleo ya Mkoa Hutegemea Juhudi za Nchi na Umuhimu wa Mkoa wenyewe..

Haihusiani na wakazi wa eneo husika
 
Ukiwachukulia watu wa Arusha kama hao sijui wadudu unaowasema je ni sahihi kusema moja kwa moja kwamba wako vile au wanaishi vile (kama vichaa nk) kwa sababu ya fluoride pekee ndiyo imewasababisha wawe vile?
Huyo ni conspiracy theorist tu,
Mwingine anaweza kusema kiwango kikubwa cha matukio ya mauaji kanda ya ziwa ni matokeo ya fluoride, mwingine anaweza kusema ngoma za vigodoro na watu kuongea kupitiliza pwani ni matokeo ya fluoride, mwingine anaweza kusema uchawa, umaskini n.k ni matokeo ya fluoride
 
Sijasema Hivyo ila Nimesema Kulingana na Cognitive Behavior zao na ndo maana Nikasema "nulla offensa"...
Yaani no offense...Ila we Unawaonaje?

Mavazi Kuongea Na Jinsi wanavyojiweka "Is it mental Worth"?
Watu wa pwani wanavyoongea is it mental worth?
Watanzania wanavyoongea ukilinganisha na Wakenya is it mental worth?
Mauaji na matukio ya kikatili kanda ya ziwa is it mental worth?
Wafia dini wanaowaamini kina Mwamposa, kiboko ya wachawi n.k wanavyoongea na kutenda is it mental worth?
 
Ondoa upuuzi wako, hakuna depopulation duniani, kila siku duniani watu wanaongezeka na watazidi kuongezeka kwa miaka mingi sana ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…