Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

🤔🤔
 
Kuna testimony hapa iko katika pdf ,ni kitabu cha mama mmoja researcher WA masuala ya afya pale Marekani wa muda mrefu aliandika , ambaye anadhani hii ni conspiracy theory aingie hapa assome , hizi ni scientific studies zilizofanywa na anaelezea figisu alizofanyiwa huyo mama na hawa mamafia makampuni ya uzalishaji wa kemikali na madawa duniani .
Hii kitu ni uhalisia na si utani ,Fluoride ni sumu mbaya na haifai
 
Na wengi wetu IQ zetu ni hafifu mno, nadhani Lead pipes zinamadhara zaidi ambako ndio Maji ya kunywa yanapopita.
Lead ndio hatari kwa afya na haina umuhimu wote mwilini, wanasayansi wote wanakubaliana katika hili suala. Flouride ina faida katika meno kwa kiwango kinachokubalika,
Conspiracy theorists ni watu hovyo hawaelewei.
 
Enzi za pharmaceutical industry au big pharma lifespan ya binadamu ndio imeongezeka zaidi, kwenye nchi zenye big pharma wastani wa maisha ni takribani miaka 80, huku ambako bado tunategemea waganga wa kienyeji zaidi na mitishamba wastani ni takribani miaka 60.
 
Hujasoma Ukaelewa Umesoma Ili Ujibu Theory haijajikita Kuzungumzia Swala zima la Bibi yako au Bibi wa Yoyote Yule na matumizi ya Fluoride..

Theory inaonyesha Matumizi ya Fluoride na Athari zake..
Soma Kila posts Nilizoandika kuanzia mwanzo
Mkuu, somewhere umesema fluoride inapelekea ukuaji wa hovyo,mtu umri mdogo mwonekano wa mtu mzima
 
Kuna scientific studies/tafiti nyingi zaidi kuthibitisha Flouride ni muhimu kwa meno ya binadamu.
 
Sasa mswaki si-tunapiga kila siku tena kuna Sisi wengine kutwa ni mara Mbili mpaka mara Tatu imagine tumeanza kutumia tangu utotoni -- Hapo imekuaje mkuu kuna usalama kweli !?
 
Achana nae huyo Ana matatizo ya Afya ya akili
 
Sisi hapa Tanzania huko Kanda ya Ziwa kiwango cha Mercury Contamination ni kikubwa sana kutokana na Migodi lakini Mawaziri husika wanachoangalia ni Hewa Mkaa tu.

Tutakuwa na Taifa la Wagonjwa na Mambumbubu Mataahira ambao nao baadae watarithi na kuwa Wanasiasa na mzunguko utaendelea huku Taifa likididimia.

Wizara husika za Afya na Mazingira ziko Kimyaaa!!! Zenyewe ni MAMA! MAMA! MAMA!...
 
Tuache kuchimba madini tu
 
I concur with you 100% brother, head-on.
 
Brother,we acha tu.Watoto shuleni hawaelewi kitu,na ndio maana wametengeza mfumo wa kuwasukuma tu,wanaume nguvu za kiume hatuna,magonjwa yasiyotibika yanazidi kuongezeka,vifo navyo vinazidi kuongezeka,na Wizara ya Afya ipo tu..In short hali ni tete sana.Nadhani itafika wakati people will just drop down as flies.Very sad.
 
Mkuu, somewhere umesema fluoride inapelekea ukuaji wa hovyo,mtu umri mdogo mwonekano wa mtu mzima

Neno Kupelekea Sijalisema Nimetoa Context kuwa inachangia Kwenye Ukuaji Usio Na Mpangilio kwa Sababu inasababisha Disruption au ina Affect Thyroid Gland ambayo ndo Kiini cha Ukuaji..

Ni Biology ndogo sana Ya Darasa la Sita na Mwanafunzi wa Form 2 anaweza kujua Kuwa Kukitokea effect kwenye Thyroid Gland Kuna sababisha Ukuahi usio na Mpangilio nashangaa wewe Hujajua
 
Hahaaaaa umeanza kuwa na tone ya kiranga,hapa hujakataa kuwa fluoride inayoathiri thyroid gland inaathiri pia ukuaji
 
Ahsante
 
Lead ndio hatari kwa afya na haina umuhimu wote mwilini, wanasayansi wote wanakubaliana katika hili suala. Flouride ina faida katika meno kwa kiwango kinachokubalika,
Conspiracy theorists ni watu hovyo hawaelewei.

Umetaja Vitu Viwili Tofauti Hapo lead ni sumu na Inasababisha Multi Organ Failure na Lead Ukiwa Expose nayo Huchukui Round Hata Masaa kadhaa au Siku kadhaa unakuwa Marehemu..

Ila Fluoride Iko target Accumulative Kwa Kiasi hicho unachoona Kinaruhusiwa Ndo kiasi ambacho kikitumiwa kwa Muda fulan Hufanya Coat Kwenye Pineal Gland ambayo Huathiri Cognitive Na IQ na vitu vingi..

Ambavyo sio Rahisi Kuvithibitisha kwa haraka..
Ila Lead Una uwezo wa Kuthibitisha kwa Haraka...
Na Ina dalili zake Yaani Lead toxicity una uwezo wa Kuigundia Hata kama Ikiwa na Athari ya wiki moja kwa kiwango kidogo..

Ni tofauti na Fluoride..

Kwanza Unatakiwa Ujue Kuwa Lead Ni Heavy metal na Usisahau ni Madini ya Risasi.. Pb

Ila Fluoride Ni inorganic, monatomic anion of fluorine Ions ambayo ni Non Metal.. Fr-

Sasa Huwezi Kulinganisha Toxicity capability Between Metal and Non-Metal tena between Cation na Anion..

Hivi watu Mlisoma Wapi Chemistry???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…