ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau kuna vitu kweli watu wengi sijui ni elimu au shida inakuwa watu wanapiga hela kimya kimya nimesikiliza redio moja kuna jambo wanalizungumzia nimepata mshangao mkubwa sana kwamba serikali kumbe ina utaratibu maalum kwa vijana ambao mnaweza kujiunga na kwenda kujisajiri katika halmashauri husika na mkaunda kikundi chenu mkawa mnapewa tenda kutoka na ujuzi wenu aisee hii kama kweli ninfursa maana jamaa amezungumza kuhusu ile kufyeka tu barabara anasema ile mpunga wake si chini ya milioni 150 aisee sijui kweli hii au ndio bongo nyonso maana why vijana wanaingia katika mambo ya ovyo wakati kuna fursa nyepesi kama hizi.
Ebu anayejua zaidi aje na nyama nyama katika hili
Ebu anayejua zaidi aje na nyama nyama katika hili