Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu!
IMG_4424.jpeg

Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha:
IMG_4425.jpeg

IMG_4427.jpeg

Izo picha mbili ni za ndugu muuzaji, ila kwa mwaka 2009 BMW 3 Series haikua hivo. Walibadirisha mustache hapo mbele na dashboard waliweka iDrive system.
IMG_4430.jpeg

IMG_4431.jpeg

Pili, chuma ukiangalia kwa nyuma ni 320i (au unaweza sema bomba moja) inamaanisha inatumia engine ya cc 2000, N46 ya 4 cylinders. Moja kati ya engine mbovu BMW amewahi tengeneza.

Tatu, chuma taa za Christmas zimeanza kuwaka.
IMG_4428.png

Kwa chap chap naona tu SRS Airbags light pale juu. Hizi za chini zimezibwa na steering au inaweza ikawa sio taa.

Kwa makadirio, akijitahidi sana hii chuma auze Mil 6-8 maybe anaweza pata mtu.

BMW E90 unaweza kuagiza mwenyewe ukapata kwa Mil 14-15 ya nn kununua kwa mtu kwa Mil 13?
 
Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu!
View attachment 3522824

Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha:
View attachment 3522826
View attachment 3522827
Izo picha mbili ni za ndugu muuzaji, ila kwa mwaka 2009 BMW 3 Series haikua hivo. Walibadirisha mustache hapo mbele na dashboard waliweka iDrive system.View attachment 3522830
View attachment 3522835
Pili, chuma ukiangalia kwa nyuma ni 320i (au unaweza sema bomba moja) inamaanisha inatumia engine ya cc 2000, N46 ya 4 cylinders. Moja kati ya engine mbovu BMW amewahi tengeneza.

Tatu, chuma taa za Christmas zimeanza kuwaka. View attachment 3522831

Duh one day nitakamata kababy walker kama haka, Sema usipozijua gari bhna utapigwa kweli, tumshukuru mungu tu kuwepo ninyi mnaotufungua akili kila siku,, Maana mtu kama Mimi kichwa kichwa tu nishauza korosho Zangu na upwiru wa kumiliki Kausafiri ka ndoto Zangu kama haka naweza pigwa za uso,,, hongera bro kwa madini ya kila siku.
 
Mara nyingi unakuta yeye mwenyewe alipigwa so nafsi inakataa kupata hasara kubwa sasa anahaha kumtafuta mnyonge wake nae am’bagaze.

Ajabu ya dunia yupo mtu mahali ataoshwa juu ya hii chuma ni muda tu unasubiriwa.
 
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.

Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
 
Mkuu, likija swala la kununua gari tuliza kichwa kama unavyotuliza wakati wa kununua kiwanja.
 
Mkuu, binafsi naona hata kwa hiyo bei ni sawa tu kwa aliye tayari, mnunuzi ajiridhishe tu kuwa ni zima na fault zake zinatatulika na awe tayari kuzitatua na awe na uwezo wa kifedha.

Hizi gari kama una kipato cha kuunga unga sijui M1 kwa mwezi ndo ikulishe na ulihudumie gari hata ukichukua Japan ni suala la muda tu litawasha mataa.
Mara nyingi unakuta yeye mwenyewe alipigwa so nafsi inakataa kupata hasara kubwa sasa anahaha kumtafuta mnyonge wake nae am’bagaze.

Ajabu ya dunia yupo mtu mahali ataoshwa juu ya hii chuma ni muda tu unasubiriwa.
 
Duh hizi ndinga kali lakini zinatishana maisha aloo 🤔.Mimi nazipenda tu bila sababu pamoja na mapungufu Yake mwaka wowote inshaallah 🙏🏿.
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.

Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
 
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.

Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
Mkuu hio ni biashara. Wewe unampangiaje bei? Hio ni used car haina bei maalum hata FCC hawawezi kuingilia. Halafu experience yako mbaya na BMW usikatishe eengine tamaa. Kuna watu wanazo namba C D na wanaishi nazo tu. Sio kila mtu ataendesha Toyota. Ukiona kitabu hukielewi hujaanfikiwa wewe. Ile VW bado ninayo tangu 2018 au 2019 hata sikumbuki na haiwaki taa hata moja. Ila pia nina Li Toyota linawaka taa mwaka wa tatu huu hazizimiki.
 
20251231_093026.jpg
 
Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022

Saa ilishawahi waka mwaka huu baada ya kutoka car wash ila nilivyozima na kuiwasha gari ikapotea
 
Attachments

  • Screenshot_20251231_110205_Gallery.jpg
    Screenshot_20251231_110205_Gallery.jpg
    226.5 KB · Views: 33
Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022

Saa ilishawahi waka mwaka huu baada ya kutoka car wash ila nilivyozima na kuiwasha gari ikapotea
Nilipeleka mara mbili tatu inazims after few days zinarudi. Sikujisumbua tena maana gari hainipi shida yoyote na nasafiri nayo sana tu.
 
Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu!
View attachment 3522824

Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha:
View attachment 3522826
View attachment 3522827
Izo picha mbili ni za ndugu muuzaji, ila kwa mwaka 2009 BMW 3 Series haikua hivo. Walibadirisha mustache hapo mbele na dashboard waliweka iDrive system.View attachment 3522830
View attachment 3522835
Pili, chuma ukiangalia kwa nyuma ni 320i (au unaweza sema bomba moja) inamaanisha inatumia engine ya cc 2000, N46 ya 4 cylinders. Moja kati ya engine mbovu BMW amewahi tengeneza.

Tatu, chuma taa za Christmas zimeanza kuwaka. View attachment 3522831
Kwa chap chap naona tu SRS Airbags light pale juu. Hizi za chini zimezibwa na steering au inaweza ikawa sio taa.

Kwa makadirio, akijitahidi sana hii chuma auze Mil 6-8 maybe anaweza pata mtu.

BMW E90 unaweza kuagiza mwenyewe ukapata kwa Mil 14-15 ya nn kununua kwa mtu kwa Mil 13?
Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.

Diagnose Your Own Car troubles

Now all you need to do is simply buy an auto-code reader.

Plug it into the car’s computer system through the OBD plug, and it will instantly help you read your engine’s fault codes. Within a matter of no time, you will find out what’s causing the check engine light to illuminate, locate a bad oxygen sensor, read enhanced data, or even retrieve the VIN of your car.

Mkuu Mad Max mwongozo wako ni wa muhimu kuhusu auto-code reader
 
Back
Top Bottom