Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022

Saa ilishawahi waka mwaka huu baada ya kutoka car wash ila nilivyozima na kuiwasha gari ikapotea
Naamini auto-code reader ni ya muhimu kila mmiliki wa gari kuwa nayo.
 
Ungeweka na changamoto zake mkuu ili tujue,wengine sisi kwenye magari tupotupo tu..
Changamoto kama
1. Gharama za spea/uendeshaji ni mkubwa
2. Mafundi wamagari bongo wengi ni ungaunga, unatatizo moja, unapeleka gari kwa fundi, linarudi na matatizo matatu yakudumu.
3. Miundombinu(barabara) zetu nyingi kwa matumizi ya hizi gari uongo
4. Waendesha magari wengi wabongo sio wazuri, hata kununua hizi gari used ni kujilipua tu.
 
Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.

Diagnose Your Own Car troubles

Now all you need to do is simply buy an auto-code reader.

Plug it into the car’s computer system through the OBD plug, and it will instantly help you read your engine’s fault codes. Within a matter of no time, you will find out what’s causing the check engine light to illuminate, locate a bad oxygen sensor, read enhanced data, or even retrieve the VIN of your car.

Mkuu Mad Max mwongozo wako ni wa muhimu kuhusu auto-code reader
Yeah nyingi plug n play. Yaani simple tu una chomeka inakupa data.
 
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.

Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
😀😀😀 Mimi nilinunua BMW toka Japan kwa zaidi ya milioni 25 nikaja kuuza kwa milioni 11 baada ya miaka kama 5!

Bahati nzuri gari nilikuwa nimeitunza vizuri, hata nilipotangaza kuouza haikuchukua muda ikapata mnunuzi.

Mshikaji aliyenitafutia mnunuzi nilimpatia 1 milioni.

Ila kwasasa siioni barabarani 😀😀😀😀 na nikichungulia Bima imeisha jamaa aja renew😇😇😇
 
Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.

Diagnose Your Own Car troubles

Now all you need to do is simply buy an auto-code reader.

Plug it into the car’s computer system through the OBD plug, and it will instantly help you read your engine’s fault codes. Within a matter of no time, you will find out what’s causing the check engine light to illuminate, locate a bad oxygen sensor, read enhanced data, or even retrieve the VIN of your car.

Mkuu Mad Max mwongozo wako ni wa muhimu kuhusu auto-code reader
Ile BMW ilinifanya ninunue Diagnostic Machine kwa 1.6 mil.

Hii mqchine Inanisaidia kwenye magari yangu na ya marafiki zangu
 
Inaweza kukufanya uwe fundi kabisa 😀😀😀
Unajua kwa wenzetu mfano Ujerumani, ni jambo la kawaida mtu kujifanzia vitu vidogo vidogo bila kwenda kwa fundi, mfano kufanya service etc. Ila haya magari na uzee wangu yatanifanya niwe fundi. Hii auto- code reader wiki haipiti naruka nayo, maana kiinua mgongo changu!
 
Wazungu pia wana tools. Mtu store yake ana tool kit za kutosha kazi zote za mikono anafanya mwenyewe. Inabidi wawe hivyo labor charge iko juu. Sasa huku service labor charge tzs 15,000 na vifaa hatuna acha tuwape riziki akina fundi maiko.
 
Kweli ila hii ya check engine ni gharama; kama mkokoteni wangu ni laki CMC ikiwaka! Nawatajirisha wao
 
Back
Top Bottom