Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
๐๐๐ We acha tu, nilikuwa mtaalam naweka machine najua tatizo ni nini, naingia YouTube naangalia video za tatizo nikilolioata kwenye Diagnostic Machine, naenda kwa fundi namwambia tengeneza hiki na tatizo linatengamaa.Inaweza kukufanya uwe fundi kabisa ๐๐๐
Magari ya Ulaya hata balbu ikiungua itakuandikia kwenye dash board labda balbu ya nyuma kusho imeungua.