Duh one day nitakamata kababy walker kama haka, Sema usipozijua gari bhna utapigwa kweli, tumshukuru mungu tu kuwepo ninyi mnaotufungua akili kila siku,, Maana mtu kama Mimi kichwa kichwa tu nishauza korosho Zangu na upwiru wa kumiliki Kausafiri ka ndoto Zangu kama haka naweza pigwa za uso,,, hongera bro kwa madini ya kila siku.Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu!
View attachment 3522824
Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha:
View attachment 3522826
View attachment 3522827
Izo picha mbili ni za ndugu muuzaji, ila kwa mwaka 2009 BMW 3 Series haikua hivo. Walibadirisha mustache hapo mbele na dashboard waliweka iDrive system.View attachment 3522830
View attachment 3522835
Pili, chuma ukiangalia kwa nyuma ni 320i (au unaweza sema bomba moja) inamaanisha inatumia engine ya cc 2000, N46 ya 4 cylinders. Moja kati ya engine mbovu BMW amewahi tengeneza.
Tatu, chuma taa za Christmas zimeanza kuwaka. View attachment 3522831
Kwa chap chap naona tu SRS Airbags light pale juu. Hizi za chini zimezibwa na steering au inaweza ikawa sio taa.
Kwa makadirio, akijitahidi sana hii chuma auze Mil 6-8 maybe anaweza pata mtu.
BMW E90 unaweza kuagiza mwenyewe ukapata kwa Mil 14-15 ya nn kununua kwa mtu kwa Mil 13?
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.Mara nyingi unakuta yeye mwenyewe alipigwa so nafsi inakataa kupata hasara kubwa sasa anahaha kumtafuta mnyonge wake nae am’bagaze.
Ajabu ya dunia yupo mtu mahali ataoshwa juu ya hii chuma ni muda tu unasubiriwa.
Yeah!!!Ajabu ya dunia yupo mtu mahali ataoshwa juu ya hii chuma ni muda tu unasubiriwa.
Mkuu, likija swala la kununua gari tuliza kichwa kama unavyotuliza wakati wa kununua kiwanja.Duh one day nitakamata kababy walker kama haka, Sema usipozijua gari bhna utapigwa kweli, tumshukuru mungu tu kuwepo ninyi mnaotufungua akili kila siku,, Maana mtu kama Mimi kichwa kichwa tu nishauza korosho Zangu na upwiru wa kumiliki Kausafiri ka ndoto Zangu kama haka naweza pigwa za uso,,, hongera bro kwa madini ya kila siku.
Mara nyingi unakuta yeye mwenyewe alipigwa so nafsi inakataa kupata hasara kubwa sasa anahaha kumtafuta mnyonge wake nae am’bagaze.
Ajabu ya dunia yupo mtu mahali ataoshwa juu ya hii chuma ni muda tu unasubiriwa.
Hakika mkuu umejiminya miaka harafu ukurupuke, kinakulamba unajitundika, umakini muhimu, ndio Maana tunapata masomo kama haya tunajifunza mengi.Mkuu, likija swala la kununua gari tuliza kichwa kama unavyotuliza wakati wa kununua kiwanja.
Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.
Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
Mkuu hio ni biashara. Wewe unampangiaje bei? Hio ni used car haina bei maalum hata FCC hawawezi kuingilia. Halafu experience yako mbaya na BMW usikatishe eengine tamaa. Kuna watu wanazo namba C D na wanaishi nazo tu. Sio kila mtu ataendesha Toyota. Ukiona kitabu hukielewi hujaanfikiwa wewe. Ile VW bado ninayo tangu 2018 au 2019 hata sikumbuki na haiwaki taa hata moja. Ila pia nina Li Toyota linawaka taa mwaka wa tatu huu hazizimiki.Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.
Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
Mkuu hio ni biashara. Wewe unampangiaje bei? Hio ni used car haina bei maalum hata FCC hawawezi kuingilia. Halafu experience yako mbaya na BMW usikatishe eengine tamaa. Kuna watu wanazo namba C D na wanaishi nazo tu. Sio kila mtu ataendesha Toyota. Ukiona kitabu hukielewi hujaanfikiwa wewe. Ile VW bado ninayo tangu 2018 au 2019 hata sikumbuki na haiwaki taa hata moja. Ila pia nina Li Toyota linawaka taa mwaka wa tatu huu hazizimiki.
Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022
Nilipeleka mara mbili tatu inazims after few days zinarudi. Sikujisumbua tena maana gari hainipi shida yoyote na nasafiri nayo sana tu.Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022
Saa ilishawahi waka mwaka huu baada ya kutoka car wash ila nilivyozima na kuiwasha gari ikapotea
Ungeweka na changamoto zake mkuu ili tujue,wengine sisi kwenye magari tupotupo tu..Hizi gari sio bei.. ila shida zina mambo mengi sana kama hujui magari ni bora ukaachana nazo tu
Atakuwa alisikia kwa jirani!Ungeweka na changamoto zake mkuu ili tujue,wengine sisi kwenye magari tupotupo tu..
Changamoto kubwa ni gharama za spares, kuishi nayo inahitaji uwe na discipline na usiwe na hela za mawazo. Hata Toyota zinaharibika sana ila mchina kawaokoa wabongo kaleta takataka za bei rahisi nyingi.Ungeweka na changamoto zake mkuu ili tujue,wengine sisi kwenye magari tupotupo tu..
Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu!