Naamini auto-code reader ni ya muhimu kila mmiliki wa gari kuwa nayo.Hili ni tatizo dogo sana mimi yangu ilishawahi waka hivi ina wiki mbili tu kutoka Japan ila niliipelekaga kwa azizi umeme ikajulikana kwamba brake master cylinder ilikua imetoboka sababu ya kutu hio ni 2022
Saa ilishawahi waka mwaka huu baada ya kutoka car wash ila nilivyozima na kuiwasha gari ikapotea
Changamoto kamaUngeweka na changamoto zake mkuu ili tujue,wengine sisi kwenye magari tupotupo tu..
Yeah nyingi plug n play. Yaani simple tu una chomeka inakupa data.Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.
Diagnose Your Own Car troubles
Now all you need to do is simply buy an auto-code reader.
Plug it into the carβs computer system through the OBD plug, and it will instantly help you read your engineβs fault codes. Within a matter of no time, you will find out whatβs causing the check engine light to illuminate, locate a bad oxygen sensor, read enhanced data, or even retrieve the VIN of your car.
Mkuu Mad Max mwongozo wako ni wa muhimu kuhusu auto-code reader
Kiasi gani nimnunulie LamomyNinazo nauza
πππ Mimi nilinunua BMW toka Japan kwa zaidi ya milioni 25 nikaja kuuza kwa milioni 11 baada ya miaka kama 5!Mkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.
Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
Crown π safi kabisaa.. hizi kawaida kabisa.. tunaishi nazo hizi. Goja nishushe G-Wagon nije kukusalimia mkuu
Ile BMW ilinifanya ninunue Diagnostic Machine kwa 1.6 mil.Katika kuperuzi katika mitandao, nikaona kitu hiki.
Diagnose Your Own Car troubles
Now all you need to do is simply buy an auto-code reader.
Plug it into the carβs computer system through the OBD plug, and it will instantly help you read your engineβs fault codes. Within a matter of no time, you will find out whatβs causing the check engine light to illuminate, locate a bad oxygen sensor, read enhanced data, or even retrieve the VIN of your car.
Mkuu Mad Max mwongozo wako ni wa muhimu kuhusu auto-code reader
Inaweza kukufanya uwe fundi kabisa πππIle BMW ilinifanya ninunue Diagnostic Machine kwa 1.6 mil.
Hii mqchine Inanisaidia kwenye magari yangu na ya marafiki zangu
Kwa BMW au Range Rover Naona ni kifaa muhimu maana kwangu kila mara wanakula laki Taa ikiwakaIle BMW ilinifanya ninunue Diagnostic Machine kwa 1.6 mil.
Hii mqchine Inanisaidia kwenye magari yangu na ya marafiki zangu
Dah kaka ukatumia akiba yangu ya mwaka kwa 3 daysπMkuu, mwisho wa siku ni kukubali hasara kuliko kuendelea kutunza cancer. Nilinunua zaidi ya Mil 17 nikauza Mil 6.5 kama sijakosea baada ya miaka 3 au miwili na nusu.
Ile siku, iyo point 5 nikajipongeza vacation Tanga 3 days.
Unajua kwa wenzetu mfano Ujerumani, ni jambo la kawaida mtu kujifanzia vitu vidogo vidogo bila kwenda kwa fundi, mfano kufanya service etc. Ila haya magari na uzee wangu yatanifanya niwe fundi. Hii auto- code reader wiki haipiti naruka nayo, maana kiinua mgongo changu!Inaweza kukufanya uwe fundi kabisa πππ
Unajua kwa wenzetu mfano Ujerumani, ni jambo la kawaida mtu kujifanzia vitu vidogo vidogo bila kwenda kwa fundi, mfano kufanya service etc. Ila haya magari na uzee wangu yatanifanya niwe fundi. Hii auto- code reader wiki haipiti naruka nayo, maana kiinua mgongo changu!
Wazungu pia wana tools. Mtu store yake ana tool kit za kutosha kazi zote za mikono anafanya mwenyewe. Inabidi wawe hivyo labor charge iko juu. Sasa huku service labor charge tzs 15,000 na vifaa hatuna acha tuwape riziki akina fundi maiko.Unajua kwa wenzetu mfano Ujerumani, ni jambo la kawaida mtu kujifanzia vitu vidogo vidogo bila kwenda kwa fundi, mfano kufanya service etc. Ila haya magari na uzee wangu yatanifanya niwe fundi. Hii auto- code reader wiki haipiti naruka nayo, maana kiinua mgongo changu!
Kweli ila hii ya check engine ni gharama; kama mkokoteni wangu ni laki CMC ikiwaka! Nawatajirisha waoWazungu pia wana tools. Mtu store yake ana tool kit za kutosha kazi zote za mikono anafanya mwenyewe. Inabidi wawe hivyo labor charge iko juu. Sasa huku service labor charge tzs 15,000 na vifaa hatuna acha tuwape riziki akina fundi maiko.
Nimepanda huku juu nimeona auto code reader kumbe mfyuuuu..!! πΉπΉπΉNaamini auto-code reader ni ya muhimu kila mmiliki wa gari kuwa nayo.
Ndio uzuri wa ToyotaNilipeleka mara mbili tatu inazims after few days zinarudi. Sikujisumbua tena maana gari hainipi shida yoyote na nasafiri nayo sana tu.
Ili ndinga yako uwe unaicheckNimepanda huku juu nimeona auto code reader kumbe mfyuuuu..!! πΉπΉπΉ
Mi nikajua unaninunulia BMW hiyo nisukume πΉπΉ
Nimejicheka balaa.!!