Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

Inaweza kukufanya uwe fundi kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ We acha tu, nilikuwa mtaalam naweka machine najua tatizo ni nini, naingia YouTube naangalia video za tatizo nikilolioata kwenye Diagnostic Machine, naenda kwa fundi namwambia tengeneza hiki na tatizo linatengamaa.

Magari ya Ulaya hata balbu ikiungua itakuandikia kwenye dash board labda balbu ya nyuma kusho imeungua.
 
Uko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…