Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hazisaidii uyu ni ccm ambae amechangamka , kwake ccm kwanza maisha ya wanachama wa ccm hasa ambao husombwa kwenye mafuso ,mikokoteni badae
asipo elewa na hii basi ujue ni aina wa wale wanafunzi ambao mpaka alambishwe viboko na makonzi hadi ahisi harufu ya damu ndio aanze kumfikiria kuanza kuelewa
fuatilia makala za Mwalimu Pasca Mayalla utagundua ni tatizo lako binafsi
 
Na nyie chadema sombeni watu kwa helicopter kama ccm wanavyosomba kwa mikokoteni na mafuso
 
Hazisaidii uyu ni ccm ambae amechangamka , kwake ccm kwanza maisha ya wanachama wa ccm hasa ambao husombwa kwenye mafuso ,mikokoteni badae
sawa.
Asante kwa kugoma kutaka kusaidiwa uelewa.
Kaa hivyo hivyo sasa, maana hakuna namna nyingine sasa.....
 
Pascal ni chawa anaye tafuta uteuzi wala si wa kumwamini.
 
sawa.
Asante kwa kugoma kutaka kusaidiwa uelewa.
Kaa hivyo hivyo sasa, maana hakuna namna nyingine sasa.....
Pascal Mayala pamoja na kuwa mwanasheria kaivua nguo ofisi ya msajili, anasema, kwa ccm ni chama dola hata ikifanya makosa yoyote haiwezi kufutwa labda vyama vingine.

Sasa mtu kama uyu bado anataka nipitie makala zake nijifunze , nijifunze nini sasa wakati yeye mwenyewe anakili kwamba ccm ipo juu ya sheria
 
Pascal ni chawa anaye tafuta uteuzi wala si wa kumwamini.
Nakushukuru sana , uyu pascal Mungu anamwona, anasema nijifunze wakati anakili kwamba ccm ipo juu ya sheria na kwa makosa yoyote ccm haiwezi kufutwa kisa ni chama dola labda vyama vingine, maana nyingine ofisi ya masajili ipo kwa ajili ya vya vyote isipokua ccm,

Majuzi tu chadema walilimwa barua kisa tu kuhusisha machapisho ya kwenye mitandao kuandikwa na wanachama wa chadema? Pascal Mayalla jinsi alivyonijibu bado anaamini ilo lilikua kosa mpaka msajili kuchukua hatua ya kuwalima barua chadema , kuliko hili la ccm ambalo linaweza siku moja kusababisha nguvu kazi ya taifa kupotea.

Kwamba CCM kusomba watu kwa malori , mafuso na mikokoteni ili kupata vichwa vya kujaza mikutano ( kwake haoni kama ni tatizo kubwa)

Lakini pia pascal Mayalla ameshindwa kujiongeza kwamba pamoja na zoezi hili ka kusomba watu kwa malori bado ccm hulazimisha baadhi ya ofisi za uma kufungwa na watumishi kujongea kwenye mkutano , je nayo sio hujuma kwa nchi na wananchi au aya yote pascal mayalla hayajui, msajili hayajui , na kama ndivyo Msajili anataka makosa makubwa kiasi gani kuifutia mbali ccm
 
kusomba watu kwenye mikokoteni, mafuso, n.k toka sehem moja kwenda sehem nyingine ili kuongeza vichwa hasa kwenye mikutano ya mwenyekiti wao,
Waliwahi kuuumbuliwa na mama Maria Nyerere, lkn bado hawasikii.

Rais anafanya ziara Nzega lkn wanaccm wa mkoa mzima wanakusanywa. Why??
 
sasa ndio hivo,
malalamiko yako hana msingi,
sasa unalamika kwa nani na umeshelezwa bayana msajili ni ccm
 
Hiyo kesi ungeipeleka traffic police.
 
Waliwahi kutumbuliwa na mama Maria Nyerere, lkn bado hawasikii.

Rais anafanya ziara Nzega lkn wanaccm wa mkoa mzima wanakusanywa. Why??
Shangaa mkuu , tena wanabebwa usafri hatarishi kama mafuso,
 
sasa ndio hivo,
malalamiko yako hana msingi,
sasa unalamika kwa nani na umeshelezwa bayana msajili ni ccm
So hayana msingi kwa sababu msajili ni ccm ? Asipo chukua hatua ipo siku ndugu zake watakuja kukatika miguu kama sio kupoteza maisha ndo atajua malalamiko yangu kwake ni ya msingi sana , hata uyu PASCAL MAYALLA Haichukue hii
 
Kama akili za upinzani ndo izi basi tumasafari ndefu sana kufika nchi ya ahadi,kwanini usingeelezea kanuni na Sheria ipi imevunjwa ili ipatikane sababu ya kukifuta chama,halafu Kama ni swala la usalama mbona sehemu nyingi usafiri wa malori kubeba abiria unatumika,hususani minadani, ulishawahi kuchukua hatua gani?
 
Hiyo kesi ungeipeleka traffic police.
Kwa nini, angaika na matawi ya mti badala ya kuangaika na kisiki , ccm ndo chanzo katika hili inatakiwa iwajibishwe kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadam kwa kuwabeba wanachama wao kwenye mafuso kama mifugo haikubaliki
 
".....Wamenikokota usku usiku nije kuongeza Vichwa. ..."

Mama Maria nyerere 2020
 
Shida ulivyoandika , msajili yupi humu ila atapita thread yako, wakati huo anaendelea kula makuku na mabia ya safari lager, alafu anaenda kule kwenye jukwaa la mahusiano lile.
Hahahaa maofisa wake watasoma
 
Bila picha Mkuu
 
Watataka kutoa kafara waseme ni ajali ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…