Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

Hii ndo vita ya kwanza duniani watu wananyimwa chakula, maji na mahitaji mengine ya kibinaadamu, pamoja na yote hayo pamoja na kumzingira mpinzani lkn zayuni kashindwa kufikia malengo,,
kwani malengo ya zayuni ni yepi?
 
kwani malengo ya zayuni ni yepi?
Lengo kubwa ni kuifuta Hamas, na kukomboa mateka, lakini hayo yote yamemshinda hasira zake anazitolea kwenye kuuwa watoto na kina mama na kubomoa majengo kwa makusudi,, zingatia neno makusudi, ni kweli vita haina macho lkn zayuni anaua watoto na kina mama kwa makusudi.
 
Hii ndo vita ya kwanza duniani watu wananyimwa chakula, maji na mahitaji mengine ya kibinaadamu, pamoja na yote hayo pamoja na kumzingira mpinzani lkn zayuni kashindwa kufikia malengo,,
Malengo si ndiyo hivyo vilio vyenu vya njaa! Kabla ya vita mbona hamkulia njaa!
Maneno mengiiii mwisho kilio.
Na Myahudi kaweka pamba masikioni anawatandika mpaka awafute kabisa. Waarab wenzenu wanakenua meno tu!
 
Nilisoma sehemu, natafuta hizo taarifa kwamba HAMAS pia wanagombea chakula na kuwanyang'anya Wapalestina...
 
Hii inaitwa,"Mwana kulitaka Mwana kulipata".Unapoanzisha vita lazima ujiandae kwa masahibu yote yatokanayo na hiyo vita.
Israeli ni adui yao ,wanategemea awapatie chakula na maji ya kutosha ili wakishiba waendelee kupigana?
Wangewaekea sumu kwy chakula ili wafee. Adui mwombeee njaaa
 
Acha kupaniki mdogo wangu
 
Malengo yanayokaririwa kila siku ni hayo hayo.Ukitoka nje ukazuia chakula na kuua raia ni kusema vita imekushinda.
 
Waarabu hawajawahi Kuwa serious!
 
Vita zina mbinu nyingi!

Ukiona Wananchi Wako wanafikiwa na Adui ujue Jeshi lako ni dhaifu sana
Hilo la udhaifu wa Hamas mbele ya IDF kwa juu ndilo linalojulikana na kila mtu duniani. Jeshi lisilokuwa na ndege wala kifaru enzi hizi ni dhaifu.
Lakini kiundani kumbe Hamas ni wakali kuliko IDF kwa sababu wamewazuia kufikia malengo yao yote mawili wanayoyatangaza.
Sasa jiulize tu wewe hii nguvu ya aina hiyo Hamas wameitoa wapi ?
 
Kama Netanyahu atachukua maamuzi kama ya Moshe Dayan basi Hamas itafutiliwa mbali dakika 0 πŸ˜‚
 
 
Hii ndo vita ya kwanza duniani watu wananyimwa chakula, maji na mahitaji mengine ya kibinaadamu, pamoja na yote hayo pamoja na kumzingira mpinzani lkn zayuni kashindwa kufikia malengo,,
Unakumbuka watu walivyokufa njaa vita ya Biafra? UN wanasema hali ya Gaza ni mbaya. na iko karibu na total collapse.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mi sio mbobevu kiivo kwenye international affairs ivo swali langu ni kwamba why marekani anakua kama international tittle contender Yani hakuna international agreement ambayo inaweza fanyika bila kutajwa Wala kuhusishwa why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…