Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

Jitahidi uwe unatoa msaada Kwa watu. Kwa kufanya hivi hiyo hali itaanza kupotea taratibu.

Mahusiano bora na watu ni muhimu Sana.

Unachobidi kuwa nacho ni boundary Ila sio kujitenga na watu
 
Lile tangazo naona hawakuliona, ila kwa hii mbinu jiandae kupata PM za kutosha man...😊
Hii si mbinu,nimeshiriki stories of changes misimu yote kwa ukamilifu na nimeshiriki hafla za tuzo zote ,watafute baadhi ya washindi waulize how it was kwa upande wangu hata baadhi ya mod humu wananifahamu,sio mbinu mkuu yaani mimi nipo hivyo
 
Jitahidi uwe unatoa msaada Kwa watu. Kwa kufanya hivi hiyo hali itaanza kupotea taratibu.

Mahusiano bora na watu ni muhimu Sana.

Unachobidi kuwa nacho ni boundary Ila sio kujitenga na watu
Mkuu nina utaratibu wakutembelea watoto yatima kila baada ya miezi 3 japo kuna wakati naenda kwa mwaka mara moja,nina makundi ya whatssap huwa natoa michango kwenye matatizo ama furava,nina dispensary natenga kiasi kuhudumia wanaohitaji matibabu lakini hawanafedha kila mwezi hii haitoshi?
 
Jana ulileta bandiko ukitafuta mke lakini una watoto 3, au kutokuwa na mke ndiyo kunaleta hali hiyo?..JF ya siku hizi story za kutunga zimekuwa nyingi sana.
 
Wewe ni INTROVERT, huna tatizo lolote.
Ila jitahidi kujinga na watu, bongo ni nchi ya wapiga kelele zaidi na connections.
 
Mkuu, wewe uko kama mimi kwa mambo mengi.

Ila hapo mwisho naona kama umejidanganya. Unafikiri ukioa hiyo hali ndo itaisha? Mmmmh sidhani.

Mimi kabla sijaoa nilifikiri nikioa nitaepukana na situation hii, ila wapi bwanaa. Tukitoka kazini na Mke wangu mimi huwa nakuwa busy na Jamii forums nikitembelea majukwaa yote. Muda wa kupiga story na mke wangu haujawahi kumzidi dakika 20. Wife alishanilalamikia sana, hadi nami nikaona kweli simtendei haki, lakini ndo nilishashindwa kubadilika. Hata muda huu ninapotype,sijaongea chochote na wife zaidi ya salaam tangu saa 12:42 jioni tulipokutana home.
 
Jana ulileta bandiko ukitafuta mke lakini una watoto 3, au kutokuwa na mke ndiyo kunaleta hali hiyo?..JF ya siku hizi story za kutunga zimekuwa nyingi sana.
Umesoma nilichokiandika hapo na kukielewa ama umekisoma tu,? Natafuta mke yes,ninawatoto watatu absoluto,sina marafiki naninapenda kujitenga,kati ya hayo matatu ipi inaakisi kwamba ni stori ya kutunga.Learn how to analyse things with accuracy or just precision never pretend and then criticising,haipendezi
 
Dah!!
 
Hapo kazi ipo mzee dates zingeenda kwenye 23 nakuendelea ningesema ni normal but hapo sio normal una tatizo la kutrust watu, kusocialize na watu tafuta what went wrong kwenye ukuaji wako malenzi and so on jibu lipo kwenye past yako
Ah! My past is full of mysteries kwa kweli,NAOMBA NIKUONE PM mkuu,nikikaa kwenye laptop hiki kishikwambi hakifungui PM
 
Kwahiyo sahivi uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…