Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

Mh! Kwa maelezo yako lazima unapiga Punyeto mkuu.
 
Kama unatafuta furaha kwa watu au mtu huwezi kuipata kamwe..furaha kamili unayo wewe mwenyewe..get t man vuta GANJA!
Ah! Tena? Sijawahi shawishika kutumia kileo cha aina yoyote ile,ikitokea hivyo nadhani nitapoteza sifa yakuwa binadamu,
 
Jitahidi uwe na hobby kama mchangiaji mmoja alivo Sema au
- jiweke busy na kaz
-go to school
-Fanya charity ukacheze na watoto vituo vya watoto yatima
 
Kama unatafuta furaha kwa watu au mtu huwezi kuipata kamwe..furaha kamili unayo wewe mwenyewe..get t man vuta GANJA!
Na huo ukimya aliokuwa nao akivuta itakuwaje ?

Maana ganja ikiamua kukusizisha sio poa🤔
 
Jitahidi uwe na hobby kama mchangiaji mmoja alivo Sema au
- jiweke busy na kaz
-go to school
-Fanya charity ukacheze na watoto vituo vya watoto yatima
Kuhusu kazi mimi mpaka wananionea wivu maana nimebarikiwa vingi,ninaweza kuchomelea vyuma,naweza kutengeneza furniture,nafanya painting na mashine zote ninazo,mbali na hapo nasoma Telecom engineering hivyo kama sina majukumu mengine nafanya simulation ama programming ,nje ya hapo nakuwa natoa huduma za afya,charity nafanya pia labda niongeze zaidi

Jitahidi uwe na hobby kama mchangiaji mmoja alivo Sema au
- jiweke busy na kaz
-go to school
-Fanya charity ukacheze na watoto vituo vya watoto yatima
 
Attachments

  • 6F8AD3E0-6545-4441-B8EC-408C414620DE.jpeg
    453 KB · Views: 7
Dah! Inawezekana aise pole sana,nimepita huko pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…