Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

Kwaiyo unataka upate ushauri kuhusu nini?
Endelea tu na Maisha yako mbona fresh tu na kama vipi usioe kabisa piga tu Nyeto inatosha.
 
Some how interested,issue nampataje na ninamtambuaje?
Acha ufala mke wako akiwa furaha yako utajiua Acha kuwa fala. jichanganye. alone alone hata ndoa itakushinda, wanawake wazee wa watu wa hype. kila sehemu mtu yupo ndo wake wa sasa wanapenda. wewe mke wako watamla sana. kaza na introvert yako. dunia ikushangaze
 
Sema watu wa dizaini kama yako Huwa ni Hatari sana nawaogopa mno nyie hamshindwi hata kupiga matukio ya hatari msijulikane sababu watu kuwahisi ni wapole na mna hasira sana
Hasira ninazo kweli ila nashukuru Mungu ninaweza kuzi handle na moja ya mbinu natumia nikukwepa mabishano na watu
 
Asante,una laziada mkuu?
 
Wewe ni una ujinga flan hiv na kwahakika utakuua. Mtu mwenye akil timamu hawez ishi hivyo..
Jaribu ku check afya ya akil
 
Hapa naona unatafuta wife kijanja,, Ila mke naye nikipengele asee utajuta na furaha itapotea usipo jipa furaha mwenyewe unadhani nani atakupa furaha !?
 
Huko kwenye Kuoa ndo unaelekea kwenye Matatizo zaidi....!!

Watu wa aina Yako hawawezi kuishi na Mwanamke ama Kuoa...! Sababu kubwa ni kwamba wako na Spiritual power (Ambazo ama hujazijua ama hujazisemq) na Wanawake wengi hawawezi kuwa handle Watu wa aina Yako...!

Hauko peke Yako, ila TUPO WACHACHE.
 
Tuunde chama kama vipi
Ila mimi kwa upande wangu ni kama nishaizoea tu hii hali japokuwa huwa naumia sana mkuu maana kuna madili huwa yananipita kushoto coz yanahitaji sana social interaction afu kuna wengine huwa wananichukulia kama naringa. But all in all ni kujikubali tu
 
Hii ni kawaida,mimi sehemu Za kazi madogo wananiogopa sana,nawengine wanasema ninadharau,
 
Una hali hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…