Hii hali inaniumiza sana

Usijutie Maamuzi yako ya kumsamehe ila pia nakuomba usimuumize na wewe.
Kama umeamua kusamehe basi amua kusahau pia. Kila Jambo ni MAAMUZI tu lakini wewe bado HUJAAMUA KUSAHAU.
FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA HASA MAGUMU KAMA VILE SQUATS + JOGGING UKIJITAJI SAPOTI SEMA ULIPO TUTAKIMBIA PAMOJA NDANI YA MWEZI HAUTAKUMBUKA MAMBO YENYE KUKUUMIZA HATA MIMI NILISALITIWA NA WIFE NILISAMEHE NA TILL NOW TUNAISHI NA TUNALEA.
 
Asantee sana kaka nimekuelewa vizur ngoja nipambane
Utakufa siku si zako dogo kwa kuwasikiliza ma-motivation speakers,hivi ushawahi kujiuliza kwanini watu hutumia busara zao kuwashauri wengine lakini yale yale wanayoyashauri yakiwakuta wanapagawa?unadhani na umeamini kabisa aliyekushauri hivi angekuwa wewe angechukua hatua alizokuorodheshea pale juu?

Ni kwa sababu kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti,first of all wewe demu wako ni mlevi cha pili ni malaya sasa wewe una kazi mbili kwanza umtoe kilevini (kitu kisichowezekana sababu ulimkuta mlevi) then ugeukie kumtoa kwenye umalaya ambao nao ulimkuta nao maana hujamkuta bikra so kwa haraka haraka huyu umtoe ulevini atabaki malaya umtoe umalayani atabaki mlevi na kwenye ulevi ndiko waliokuzidi akili wanakupigia maana wanaelewa principles za vilevi kwamba mwanamke mlevi yake fimbo akafie mbele.
 
Tafuta mademu mwanangu Fanya sana ngono salama Ili uone Hakuna kipya..
 
Hivi mwanaume unawezaje kusamehe mwanamke aliyekusaliti?
Hapa dunian I wanaume tumebaki wachache sana. Serikali inabidi inabidi ichukue hatua kali kwa watu kama ww, UKIMWI hauwezi kuisha kwa kuwahurumia watu ambao hawako serious
 
Thats a cheap excuse mkuu. Zinaa haikubaliki nyege wote mnazo ni kujukatalia tu. Like y would a man cheat na isiwe shida. Na umejuaje mmeumbwa hivo
Mwanaume na mwanamke hawapo sawa.
 
Kabisa💯💯💯
 
Ni jambo la hatari sana kama mwanaume unaendeshwa na hisia.

Pole sana mkuu, I feel you! Japo nadhani ushauri wa wengi haupo tayari kuufuata zaidi unahitaji vitu viwili
1. Comfort
2. Upewe nija ya kuwa sawa ukiwa naye ndani bado jambo ambalo ni gumu.

Ushauri wa wengi nina uhakika hautakubaliana nao kwa sababu you are too emotional na sikulaumu ila hata nature inahukumu hizo situation, mwanamke akicheat kuacha ni ngumu. Anaweza kutulia kwa muda fulani ila atakuja kucheat tu kwa namna yoyote ile.

Binafsi naweza kusamehe makosa yote kwa mwanamke ila CHEATING! Sijawahi kuwa na second chance kwenye hilo hata niwe nampenda vipi.

No second chance for a cheater man.

Ila kama umeamua kujilipua na upo tayari kwa lolote ambalo litatokea tena huko mbeleni basi hakikisha anajua hali ambayo unaipitia, hakikisha anajua jinsi unavyo umia kwa jambo hilo ambalo alilifanya.

Hiyo inaweza kuwa njia pekee ya kuwasaidia wote, funguka kwake kila ambapo unakuwa unapitia huo uchungu Kisha samehe na ukubali ukweli kwamba ilitokea.

Baada ya hapo jitahidi kuzikumbuka nyakati ambazo mlikuwa pamoja za furaha, zizingatie zaidi hizo na Kisha muanze kutengeneza memories mpya pamoja. Mnaweza kwenda vacation pamoja au mkawa na tour, kwenda movies n.k and hakikisha haujipi nafasi ya kukaa mwenyewe idle kuyapa muda nafasi hayo mawazo.

Good luck man, Fanya maamuzi ambayo ni sahihi kwa nafsi yako na unahisi yatakupa furaha.

Usisahau tu kwamba kila maamuzi ambayo utayafanya yatakuwa na impact zake kwa baadae ila kaa kijanja ili ikija kujirudia usiandike nyuzi nyingine hapa kwa sababu as long as umeamua kumezea itakuja kujirudia tena tu kwa namna yoyote na still atakuja kukulilia akidai kwamba ilikuwa bahati mbaya.

Risk taking ✅
 
Nahofia kusema kwamba Bado una safari, usije ukalia, ngoja niishie hapa.
 
= kukiri.
 
W

Kwani ulimuoa?

Wewe ulimpataje wenzako wasimle? Si ulinchomowa kwa mwengine? Ulimwona mwenzako bwege.

Au ulishushiwa kwa uzi wa hariri?
 
Njia Nzuri mnapo anza mahusiano lazima muwe na msingi wa mahusiano yenu nini unataka na nini hautaki Kama mwanaume, ukweli usiofichika chick akikuchiti ukagundua hakika itakutesa, kutesa kweli, nature ya mwanaume hapendi kuchitiwa ama kufokewa ama kukaripiwa na chick, tell her how u feel since she chited on you, kwa kutoka Hapo home na kwenda nje ya mji kwaajili ya Jenga mahusiano yako, na ikiwa amekuchiti nw mkiingia kwa ndoa itakuwa hard time kwako. (Ongea kutoka moyoni utapa relief)
 
wanaume hatusamehe tuna sahau…jitahidi usahau mzee babaaa…
 
Unaumia.

Huwezi kumuonyesha unaumia.

Kwakua unampenda.

You are in a moral dilemma, fueled by passion and mistrust.

Am sorry sijaqualify kutoa ushauri wa kisaikolojia 100% kwakua sina Masters.

Alivunja uaminifu mwache yeye ndiye apiganie, siyo wewe.
 
Nyinyi ndo mnauaga nyie.. huyu demu muache. Maana ataliwa Tena alafu utamchinja....na analewa.. Aisee For your own safety and happiness. Get separated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…