Hii hali inaniumiza sana

Mwanamke akifikia stage ya ku cheat maana yake amekukadiria kuwa we ni bwege nazi tu kwake🤣 you are like an empty jar. Huna msimamo
 
Ingawa si rahisi, tafuta njia za kujielekeza mbali na kumbukumbu hizo. Unaweza kujaribu kushiriki katika shughuli unazopenda, kama michezo, muziki, au hata kujifunza kitu kipya.

Ingawa unataka kumlinda mpenzi wako, ni muhimu pia uwe na nafasi ya kujadili hisia zako, Huenda ikawa rahisi kumwambia kwamba bado unahitaji muda wa kuweza kuhimili kile alichokifanya, bila kumhukumu.

Jaribu kuwa karibu na marafiki na familia. Kuwa na mtu wa kuzungumza naye inaweza kusaidia sana.

Mwisho tambua kwamba Kilichotokea kimeshatokea na acha kuwaza tena hilo, Ukikumbuka ama Fikra zikikujia Kichwani achana nazo, waza mambo mengine.

Siku nyingine acha kuuliza uliza habari za mpenzi wako, wake za watu wanaongoza kwa kuliwa wakati mwingine atakuja kukwambia walimzibua Nyuma yake
 
Nakupongeza kwa maamuzi ya kuendelea kupigania penzi lenu. Uaminifu ukivunjika kidonda chake huchukua muda mrefu kupona. Ipe muda ndugu mdau, ipe muda. Jeraha litapoa
Kweli litapona ila mmmhm acheni tu
 
Positive
 
Positive
 
Kwenye Ozark bwana Maty Hard hakupona hilo jeraha. Kila muda alikua anaangalia video mkewe akiwa anapigwa vibao vya ndaksi. Ushauri mzuri ni kuachana na huyo mwanamke au kuishi nae kama partner tu (mshirika)
 
Positive 🙏
 
Rule no 1
Don ever forgive The Woman who cheated on you
 
Kama unaumia mpigie chini tafuta mwingine ili uwe na amani moyoni
Mapenz bwana anapiga chini alafu anapata demu ambae ni EX wa mtu fulani ambae alimtoa bikra.
The same bichwa linawaza kuwa alilala na mtu mwingine ndo hilo hilo bichwa linaweza waza ina maana huyu mpya alitolewa bikra na li mtu mwingine mapenzi ni magumu kuliko Hesabu Calculus
 
Kama unaumia mpigie chini tafuta mwingine ili uwe na amani moyoni
Mapenz bwana anapiga chini alafu anapata demu ambae ni EX wa mtu fulani ambae alimtoa bikra.
The same bichwa linawaza kuwa alilala na mtu mwingine ndo hilo hilo bichwa linaweza waza ina maana huyu mpya alitolewa bikra na li mtu mwingine mapenzi ni magumu kuliko Hesabu Calculus
 
Baba aliniambia kuwa siku ambayo ukimsamehe mwanamke aliekucheat ndio siku hiyo hiyo ambayo SAFARI YAKO YA KUFA MAPEMA INAPOANZA.
Utatafunwa na sonoma mpaka ukaukiane
 
Aiseee pole ila kwan ukupewa elimu ukiwa na mke lazma awe na awara wake wakumpa raha ss tulisha jengewa mising na wazee wetu mwanaume hapo peke yako kwaiyo chukulia tu kama ajali acha uzaifu mshamba ww
Kumbe!
 
Hapo huyo mkeo sijui demu wako alikuwa analipa kisasi kwa kuhisi na wewe ulikuwa unacheat huko mbali ulikokuwa ila jua tu KUCHEAT kwa mwanamke ni tofauti KUCHEAT kwa mwanaume wao wakianza hako kamchezo game haliishi leo sisi tunacheat kwa sababu ya kitu kidogo kinaitwa nyege ila wao wakicheat wanahama kihisia na mbaya zaidi atakuona we dhaifu na atarudia tena huko mbeleni
 
Na wewe msaliti kisha mtaarifu ajue, baada ya hapo mtaishi km machekibob hata kitokee kitu gani hakuna atakayeumia 😹
 
Yaani miezi 2 mtu unashindwa kuvumilia? What if mtu akiumwa miezi sita si utagongwa mpaka basi.

Nazungumzia kwa nature ya mkewe ,ukiishi na mtu unajua kama huyu anaweza kuvumilia au lah ,so hakumsoma mkewe kama si mvumilivu.
 
Muda wa mtu kukiri makosa anaupata wapi… hivi mtu anasaliti anasema mara 100 ukatae hata mimi nakuacha


Kujifanya una hofu ya Mungu na kusema kila kitu wakati unajua fika mwenzio akisikia ataumia ni upuuzi
 

Kisasi ni kwa wapumbavu tu ni afadhar amuache kuliko hilo lingine unalo mshauri

Atafanikiwa kumuumiza ama asifanikiwe ila hasara itakuwa kwake zaidi let say huyo dada ake ni HIV positive, huyo mtoto wa 2000 ndio balaa kuliko aliekuwa nae…

Usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana.. atulize bichwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…