Hii hali inaniumiza sana

Swali kidogo mkuu , Wewe haujawahi kumcheat?
 
Isee pole sana... Kwa kuwa umeamua kusamehe basi kuwa mvumilivu na hiyo hali itaisha. Kingine usiogope kumwambia namna unavyohis hata kama itakuwa mara Mia. Mwambie isee ile hali inanitesa sana. Atakosa amani ndio ila ni dawa maana itakutibu wew na yeye. Baada ya kipind flan hiyo hali utaikumbuka na haitakuumiza tena.
 
Sawa mkuu nimekuelewa shukrani
 
Kuna she nilkuwa nae Ila akaniacha nikiwa kwenye maximum ya kumpenda, ile kitu ilinitesa sana mana nilkuwa na pics zake na namba yake ila hakuna namna mana unavyoji-keep busy inakusaidia kupotezea kufikiria hayo.

Mapenzi ni ufala sana aisee.
Pole sana jomba. Siku nyingine ikitokea unicheki ili tutatue kwa njia za kimila.
 
Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali
Hapa uliongea vizuri ila kama unahisi utakuwa unarudiarudia kukushika piga chini wanawak mbona wengi usije utanikuta unakosa amani kila siku hadi mwisho wako
 
Kusamehe usaliti ni kosa kubwa sana ambalo mwanaume hautakiwi kabisa kulifanya kwenye mahusiano. Don't be stupid in the name of strong man.

Don't let people deceive you that to endure emotional abuse, manipultion, disrespect nd mantle torture make you a strong man.

Being a strong man means knowing your worth and not tolerating anyone who doesn't recognize it

Stop plying the role of sacrificial lamb, you are not emotional punching bag.

A the end of the day you set the standard of how you're treated. If you keep allowing disrespect, it will keep coming. If you keep tolerating bad behaviors, they will keep dishing it out
 
We jamaa unachekesha😀. Mwanamke akitanua mapaja Kwa mwanaume mwingine, iwe alikunywa pombe au la "it is not a mistake"
 
Maisha yanaongozwa kwa principle na siyo hisia.

Principle ya usaliti kwa mwanamke huwa ni moja tuu. Ambayo ni kuachana naye hata kama mmezaa watoto kumi. Achana naye anza upya.

Asili ya mwanamke anataka mwanamme shupavu ambaye siyo mnyonge, mpumbavu wala dhaifu.

Mwanamke atakusamehe kwa Kila kitu ila hawezi kukusamehe kwa kuwa mdhaifu. Mwanamme kama huwezi kumove on, unakuwa na udhaifu mkubwa sana ambao utamtilia shaka mwanamke wako.

Mambo 4 lazima yatokee kama ukiendelea kuishi naye. 1. Utakufa kwa stress 2. Atakuua ili awe huru na maisha yake 3. Atakucheat tena 4. Atakukimbia.
 
Achana na huyo mwanamke mkuu

Nishawahi kupitia hiyo Hali niliamua kuachana nae na nikaja kugundua ni uamuzi Bora kabisa nliowahi kuufanya.

Kukosa options ndo kuna sababisha uone ugumu kumuachia, Wakati mwanamke anaweza kuwa na mahusiano serious na wewe lakini akaendelea kugawa namba huko nje just in case.... learn
 
Amuache tu usaliti si wa kusamehe hata sie huwa hatusamehi wanaume wasaliti kwa moyo mmoja, binadamu ndivyo tulivyo kwenye mapenzi na ndicho hicho kinatutofautisha na wanyama
 
Sawa mkuu nimekuelewa Nashukuru sawa kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…