Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali kidogo mkuu , Wewe haujawahi kumcheat?Habar wana jf,
Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.
To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.
Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.
Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.
Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.
Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.
Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.
Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.
Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .
Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Asante sana kwa kunikaribisha hapa.mpe second chance lakini
tambua kuwa ikija kujirudia tena utaumia mara mbili
Natafuta Ajira
msaada tafadhali
Sawa mkuu nimekuelewa shukraniIsee pole sana... Kwa kuwa umeamua kusamehe basi kuwa mvumilivu na hiyo hali itaisha. Kingine usiogope kumwambia namna unavyohis hata kama itakuwa mara Mia. Mwambie isee ile hali inanitesa sana. Atakosa amani ndio ila ni dawa maana itakutibu wew na yeye. Baada ya kipind flan hiyo hali utaikumbuka na haitakuumiza tena.
Pole sana jomba. Siku nyingine ikitokea unicheki ili tutatue kwa njia za kimila.Kuna she nilkuwa nae Ila akaniacha nikiwa kwenye maximum ya kumpenda, ile kitu ilinitesa sana mana nilkuwa na pics zake na namba yake ila hakuna namna mana unavyoji-keep busy inakusaidia kupotezea kufikiria hayo.
Mapenzi ni ufala sana aisee.
Hapa uliongea vizuri ila kama unahisi utakuwa unarudiarudia kukushika piga chini wanawak mbona wengi usije utanikuta unakosa amani kila siku hadi mwisho wakoDaah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali
We jamaa unachekesha😀. Mwanamke akitanua mapaja Kwa mwanaume mwingine, iwe alikunywa pombe au la "it is not a mistake"Habar wana jf,
Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.
To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.
Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.
Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.
Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.
Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.
Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.
Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.
Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .
Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Achana na huyo mwanamke mkuuHabar wana jf,

Amuache tu usaliti si wa kusamehe hata sie huwa hatusamehi wanaume wasaliti kwa moyo mmoja, binadamu ndivyo tulivyo kwenye mapenzi na ndicho hicho kinatutofautisha na wanyama'mbaka' wewe ni mtu wa Iringa/Mbeya eee
Anyway, usaliti kwa mwanamke sio jambo la kulipotezea mana mwanamke anachepuka na moyo wake ila kama una uhakika wa yeye kutokurudia makosa hayo na kama kweli alichepuka kutokana na ugomvi wenu bc jilazimishe kusahau tuu japokuwa ni kweli naelewa n vigumu.
Sawa mkuu nimekuelewa Nashukuru sawa kwa ushauri wakoKusamehe usaliti ni kosa kubwa sana ambalo mwanaume hautakiwi kabisa kulifanya kwenye mahusiano. Don't be stupid in the name of strong man.
Don't let people deceive you that to endure emotional abuse, manipultion, disrespect nd mantle torture make you a strong man.
Being a strong man means knowing your worth and not tolerating anyone who doesn't recognize it
Stop plying the role of sacrificial lamb, you are not emotional punching bag.
A the end of the day you set the standard of how you're treated. If you keep allowing disrespect, it will keep coming. If you keep tolerating bad behaviors, they will keep dishing it out