Hii hali inaniumiza sana

Amuache tu usaliti si wa kusamehe hata sie huwa hatusamehi wanaume wasaliti kwa moyo mmoja, binadamu ndivyo tulivyo kwenye mapenzi na ndicho hicho kinatutofautisha na wanyama
Mtu anasema amekusamehe ila kumbe amekuweka kiporo tuu atakuja kukufanyia sapuraizi 😎
 
Aiseee pole ila kwan ukupewa elimu ukiwa na mke lazma awe na awara wake wakumpa raha ss tulisha jengewa mising na wazee wetu mwanaume hapo peke yako kwaiyo chukulia tu kama ajali acha uzaifu mshamba ww
 
Kwenye kucheat;

1. Mwanamke anasamehe lakini hasahau.

2. Mwanaume anasahau lakini hasamehi

Kwahiyo, hujasamehe.
 
Aliyekwambia mwanamke msaliti anasamehewa ni nani?Mwanamke hasaliti kwa bahati mbaya hapo ataliwa tena na tena.Niko hapa utanambia anyway endelea kuteseka na hilo LIMBWATA LA MTUMBA
 
Fanya ujiue rafiki yangu
 
Hivi na wewe ni mwanamume kweli? Eti unajitahidi usimfanye ajisikie vibaya sasa unalialia nini?

Endelea kuhakikisha ana furaha muda wote ili akupige matukio mengi zaidi.

Mwanamke akishasaliti huyo ni kumpa summary dismissal hakuna kumpa hata dakika moja kumsikiliza maana ukimpokea baada ya usaliti anajua hakuna lingine atakalofanya usimsamehe.

Atakuendesha sana kwakuwa ameshajua huna uwezo wa kumuacha licha ya kukusaliti.

Hivi mtu hujazliwa naye tumbo moja unahofia nini kumtema ukatafuta mali nyingine kali kuliko yeye?
 
Hata ukumbuke yote hayo mkuu ni kazi bure tu kosa la usaliti linaondoa mazuri yote maana hadi mwanamke anamsaliti mwanamume manake kuna upendo fulani wa dhati unapelea.

Mwanamke mwenye upendo wa dhati kwa mwanaume wake hawezi kumsaliti kwa mazingira yoyote yale.

Sasa huyu miezi miwili tu wakiwa mbali ameshasaliti halafu bado uwe na imani naye tena?
 
Mkuu mi nahtaji amani moyo wangu unamaumivu pale tu nikikumbuka nilicho fanyiwa na nimtu niliekuwa namuamini sana ila leo nahtaji kumueleza kipi ninapitia ndani ya moyo wangu kiukweli
Najua unampenda sana huyo manzi.

Tafuta siku ambayo huendi kwenye mishemishe zako maybe leo Jmosi au kesho J2, tafuta muda ambao unajua muda huu n wa kupumzika I prefer usiku baada ya msosi mmekaa kitandani kutafuta usingizi.

Kaeni kitako, ongea yote yanayokuumiza na muonyeshe n kwa namna gn umeumia. Nae akuambie yote khs huo usaliti wake.
Uzuri wanawake tunaweza kucheza na akili zao ndio mana neno la Mungu linasema tuishi nao kwa akili japokuwa wanawake wana nguvu mno.

Atakachokujibu utakipima mwnyw hapo na kujua hatua ya kuifanya.

Na kwa kuwa unajua vile unampenda na huwezi kumuacha kwa sasa bc jikaze kumsamehe but next time Ndio iwe mwisho wenu.
 
Na itakutafuna hadi unaingia kaburini, fikiria mwanamke mpaka anaenda kwa mtu anavua chupi kwa hiari yake bila kubakwa, anapanua miguu anachomekwa, Inachomoka anairudishia tena huku akilia kimahaba kisha anarudi kwako kirahisi tu anaomba umsamehe hahaha! Mwanamke msaliti ni kumwacha na msaliti mwenzie uwe huru kaka.

Hatoacha kutompana huyo sababu kashajua udhaifu wako ni kumsamehe.

Wataalam wanaita "Bwege Mtozeni"
 
Wenzako tunafumania mara kadhaa, na hatuna stress, we kuonjewa mara moja tu unaumia, mwanaume kamili haumizwi na mapenzi, inaonekana wewe huna hata mchepuko wa kuziba mapungufu ya mkeo, nchi bila chama cha upinzani haiendi, ungekua unacheat usingeumizwa na tendo la mkeo, maana angekua kama kasawazisha goli tu.
 
Ona sasa alivyomjinga,hivi unakubalije eti ndio nimechepuka,yaani mwanaume anaweza kusahau?yaani mi labda unifume kitandani na penyewe naweza kukataa.
My dear unazidi kujipunguzia siku za kuishi,unavyoumia hivo usidhani moyo uko salama,yale matundu yapo tu kuchovya kwingine ichukulie kawaida.Haya matundu yatawamaliza jamani
 
Ndugu zangu tunaotoa ushauri kwenye huu uzi, nasikitika kuwafahamisha kwamba hapa TUNAPOTEZA MUDA!

Ukisoma majibu ya mleta mada "between ze lines" unaona kabisa kwamba mleta mada yuko hapa kusikia kile anachotaka kusikia, na sio kupokea ushauri.

Huyu jamaa yetu anampenda huyo mwanamke, na HANA UWEZO wa kuchukua hatua yoyote, hata kama mwanamke huyo atarudia tena na tena ku cheat.

Funzo:
Ukishajijua kwamba huna uwezo wa kuachana na mtu, acha mara moja kumfuatilia na kuchunguza kama ame cheat au la! Manake hata ukijua unakua huna cha kufanya zaidi ya kuumia tu.
 
Kuna she nilkuwa nae Ila akaniacha nikiwa kwenye maximum ya kumpenda, ile kitu ilinitesa sana mana nilkuwa na pics zake na namba yake ila hakuna namna mana unavyoji-keep busy inakusaidia kupotezea kufikiria hayo.

Mapenzi ni ufala sana aisee.

Hapana mkuu ni life style yangu
Mkuu soon tutaweka mashada endelea na misimamo hiyo km mashahidi wa yehova ya una life style yako
 
Watanzania wengi mna magonjwa ya akili.
 
Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ndio ukubwa huo ndio maana kuna makabila sisi wanaume tunatahiriwa bila ganzi na unaponyeshwa na majani ya porini na mizizi ya porini ukitoka hapo yaan hata ukutane na maumivu kiasi gani unaona kawaida tu ukikumbuka yale maumivu ya kukatwa govi bila ganzi damu hizi hapa unaziona zinakumwagika
 
Govi ni govi na mapenz ni mapenzi ni ma dingi wangapi wa 1976+ ila wanalizwa na vitoto vya 2004 +
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…