Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Nakubaliana na ww kbs ndio maana nika muuliza mdau hana madem nje? Nilitaka kujua kitu mara nying men wenye nyondi nyingi nyondi moja ikizingua Huwez kuwa na stress za ovyoMapenzi ukiyazingatia ndio yanakuumiza ukiyapuuza hayana time na wewe mboni nimekwambia hapo hujaelewa nini?
Hauitaji therapist maana hiyo memory haitafutika As long as unaishi Nae.Daah nahsi nahtaji Therapist for sure
Mkuu. Achana na ushauri wa kumwacha haufai. Kwa sababu:Sometimes nawaza hilo but i know it’s take a time for me kiongoz
True 100%Mwanamke anaekupenda hawezi kukusaliti hata iweje,nimesoma komenti za wadau wengi wanashauri uachane nae,na Mimi nakazia hapohapo achana na huyo mwanamke hakufai,yaan mwanamke akitoka nje ya ndoa hatoacha kutoka atatoka tu,hivi ujua wanawake Wana drama Sana anaweza kuomba msamaha lakini asiwe anamaanisha,afya ya moyo wako ni kitu muhimu sana,afu hiyo kitu hutokaa ukaisahau mpaka unaingia kaburini,kila heri kwenye maamuz yako
Ndio maana nakwambia mapenzi usipoyazingatia sana na yenyewe hayakuzingatii kabisa ila ukiyazingatia yanakuumiza kwa hio hapo kuacha mitabia ya kupenda kwa kuzingatia sana wewe mimi nna mchuchu kafunguka kabisa najua wewe mwanaume kwa hio km utakua na vimada huko pambana navyo ila tu mimi nisijue hapo nilipoelewa kwamba huyu amegundua mimi siyazingatii sana mapenzi yaan ninaposema kuyazingatia namaanisha mapenzi yasiwe kitu kinachokuumiza kichwa umiza kichwa kwenye vitu vingine sio mapenzi hapo hutoumia kibwege na mapenziNakubaliana na ww kbs ndio maana nika muuliza mdau hana madem nje? Nilitaka kujua kitu mara nying men wenye nyondi nyingi nyondi moja ikizingua Huwez kuwa na stress za ovyo
Hauwezi kukosea kujua Kwamba unaenda kukosea.Kwanini
Dah [emoji25][emoji25][emoji24] kugongewa kunatesa sana fikraKumbuka kuwa kuna muda ilichomoka akaingiza mwenyewe kwa mikono yake.
Thats a cheap excuse mkuu. Zinaa haikubaliki nyege wote mnazo ni kujukatalia tu. Like y would a man cheat na isiwe shida. Na umejuaje mmeumbwa hivoMwanaume ku-cheat siyo tatizo. Ndiyo tulivyoumbwa.
Mkuu usiwe mkali basajali acha uzaifu mshamba ww
Mkuu Habari ,Habar wana jf,
Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.
To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.
Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.
Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.
Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.
Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.
Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.
Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.
Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .
Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Bro.Habar wana jf,

Jamaa alimwagia ndani au walitumia kondomu?Habar wana jf,

Mpuuzi wewe nimecheka kama mjingaMi mwanzo sikuamini, nikajuaga vyakuzua.
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu najisumbua
Si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawaonga....
Oooh! Mapenzi yalinifanya ka-mtoto nilie vibaya, mie siwezi, kwa yalonikuta we niache niseme jina
Ooooh! Mapenzi yalinifanya ka-mtoto nilie vibaya na nnamengi yamenijaa moyoniii.
Leo nataka kulewa.
Lewaaaaa......
Mi nataka kulewa
Lewaaaaa.....
Tunaenjoy tu, Ndugu yetu anaumia.Mpuuzi wewe nimecheka kama mjinga