Hii hali inaniumiza sana

Msaliti hasamehewi ndio maana wanajeshi mkienda vitani wakikugundua wewe wenzio wanaenda mbele wewe unarudi nyuma unapigwa risasi maana wanajua wewe ni msaliti sio mwenzao
Kuna baadhi ya mambo kuhasi au kusariti ni hakuna msamaha na endapo ukatoa msamaha basi imekula. kwako(one mistake one goal)

hususani vitani na katika sports and games.

Lakini haya masuala kama unauwezo waku analyse mambo kiundani utajua huyu ni wakuachananae au huyu tunaweza tukayajenga tukaendelea.

Taarifa kamili za huyu shemeji yetu hutuna, hazitoshelezi sisi ku analyse na kumpa ushauri wa yeye kufanya maamuzi magumu,

Ila kama yeye anaona mtu wake ni alipitiwa tu na sio hulka yake basi afuate kikamilifu conditions nilizoziainisha kama ikifanya hivyo zitasaidia.

Kwanini kwasababu inauwezo wakoondoa uraibu wa mambo mbalimbali hata waliokua brainwashed.

Mwili wa mwanadamu unauwezo wa kujirestore kujitibu na kurudia hali yake ya mwanzo aidha ni afya ya Akili psychology(fikra) au maradhi ya mwilini (default). Endapo tu utakapokua exposed katika hari na mazingira flani.
 
Nipo radhi kuishi na kahaba kuliko mwanamke malaya.
 
Tiba ya Usaliti ni KISASI.

Akili kichwani kwako. Poleeee brooh.
 
Mwanamke aki cheat unapiga chini!

Asizuge sijui alikunywa sana hakuna kitu kama hicho!
 
Kombora natumaini limepiga kwenye mshono...😂😂😂
 
Moja ya makosa ambayo wala hayana mjadala wa msamaha ni usaliti.

Mtu akisha saliti ni kuachana, on the spot.

Huenda alitoa hadi tigo alivyochepuka, Hebu chunguza huyo mkeo mtaro wake uko salama kweli?

Usije ukawa unafuga kahaba kwa kigezo cha msamaha na huruma.
 
wHat Tπe Fu€k,unasamehe mwanamke msaliti,ameenda kumkalia mwanaume mwenzako style anazokukaliaga wewe leo unaenda kumsamehe ukisema eti nampenda sana,unampenda malaya?

How dare you,kwanza mwanamke wa kisasa akishakuwa mnywa pombe siyo wa kukaa nae mahusiano ya aina yoyote ile huyo unapiga unasepa kwa sababu tabia za kimalaya zinaanzia huko huko kwenye ulevi na ndiko alikomkuta huyo bwana aliyemgonga,kimahusiano mwanaume mlevi na mwanamke mlevi nani atamuongoza mwenzake?hivi hata hamjiulizi?
 
Kosa kubwa la huyo jamaa ni kumpenda huyo mwanamke na kumuona kwamba ndio mama yake mzazi. Jamaa kasema hana hata ka plan B ka pembeni yeye kakomaa tu na "bomu" lake mpaka limlipukie limuue.
Huyo jamaa ni dhaifu!
 
Umri ndio unaokutesa. Vinginevyo ungekuwa umepata ufumbuzi kitambo. Ukitaka kujijua umekua sio swala la umri tu. Ukiacha kuandika mbaka badala ya mpaka. Hapo utajiona tu umekomaa. Hakuna mahusiano yatakusumbua.

Ushauri mkuu kuna haja gani ubebe maumivu ya kukupa magonjwa ya kudumu il Hali ukiwa bado kijana ksbb ya mtu ambaye hamjazaliwa pamoja?. Piga chini anza maisha mapya. Utamsahau tu. Huko mbele atakupa maumivu zaidi ya hayo.
 
Si kila ukweli ni wa kusema jitahidi tu kusamehe na kusahau Ili maisha yaende ila kama uwezi kuhold leave her
 
Hii kauli "ilipochomoka alisaidia kuirudisha yeye mwenyewe na aliichomeka yote" na pengine "alitoa na tigo" inaumiza sana moyo wa mwanaume kila anapowaza usaliti aliofanyiwa na mwanamke

Umesamehe ila haujasahau na huyo mwanamke unampenda na upendo ndiyo unaokutafuna. Ushauri simple tu ACHANA NAE UTAUMIA KWA MUDA MFUPI KISHA YATAPITA
 
wakubwa wanasema 'sharing is caring' au kwa lugha ya kwetu 'kizuri kula na nduguzo'
 
Tofauti ya Kahaba na Malaya, ni ipii? Em fafanua.
Ukahabai ni sehemu ya mtu kujitafutia kipato, ila mwanamke malaya anaweza kuwa na mume anaye mpatia kila kitu na bado anatombwa njee yaani haridhiki.
 
Pole sana mpambanaji Kwa kweli inauma sana basi tu, huo ndio ukubwa "ukubwa jalala"
Karibu kufanya tathmini ya mazuri uliyoyafanya na mabaya uliyoyafanya, vaa uhusika wa uliyemfanyia mabaya aliumia kiasi gani Kwa ubaya uliomfanyia then jitibie Kwa kutumia mabaya uliyoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…