Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,080
- 2,248
Je wanaume huwa wanaacha?Huwa hawaachi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wanaume huwa wanaacha?Huwa hawaachi.
Mwanaume ku-cheat siyo tatizo. Ndiyo tulivyoumbwa.Je wanaume huwa wanaacha?
UKwanza pole sana.. Lichukulie hilo kama changamoto Mojawapo kwenye mahusiano.. Kikubwa hapo ni huo upendo ulio nao kwake..jitahidi usife
Kuna sacrifice kubwa sana kwenye mapenzi ya kweli na msamaha.. Bila hii sacrifice msamaha hauna maana yoyote ile
Hiyo hali ikikutokea jitahidi kukumbuka yale mazuri yake kwako
Pale alipokushika mkono
Pale alipokunyanyua
Pale alipokufariji
Pale alipokukumbatia nknk
Jitahidi kukumbuka nyakati zenu za furaha na kutambua hilo lililotokea lilipaswa kutokea kwakuwa pengine kuna kubwa zaidi baya zaidi uliepushwa nalo
Uzi uishie hapaPole sana mkuu ila nachoshauri punguza hisia na utumie akili zaidi, huyo mwanamke sio wa kuendelea kuishi nae, hakufai.
Huko utapoteza muda na hela zako tu, ungekuwa na amani sana kama angekudanganya kuwa hajagongwa, lkn kwa kuwa amekuambia yeye mwenyewe 😀😀 kuwa aligongwa.Daah nahsi nahtaji Therapist for sure
Asipoelewa uhalisia utamuelewesha, wanaume hatupaswi kutumia hisia kwenye kufanya maamuzi, na hili ndio linalomtesa kwa sasa angetumia akili kufanya maamuzi hali isingekuwa hivi.Uzi uishie hapa
Hawana jipya, wewe mwenyewe unaweza kufanya hivyo na ukawa na furaha tu.Daah nahsi nahtaji Therapist for sure
She will cheat again and again'mbaka' wewe ni mtu wa Iringa/Mbeya eee
Anyway, usaliti kwa mwanamke sio jambo la kulipotezea mana mwanamke anachepuka na moyo wake ila kama una uhakika wa yeye kutokurudia makosa hayo na kama kweli alichepuka kutokana na ugomvi wenu bc jilazimishe kusahau tuu japokuwa ni kweli naelewa n vigumu.
Bora useme wewe akisema mzabzab utasikia wee unapenda ngono sana 🤣🤣🤣🤣Mkuu hauna mademu nje? Unategemea nyashii hiyo hiyo ya ndani?
HakikaShe will cheat again and again
Hili nalo nenoSwali kidogo mkuu , Wewe haujawahi kumcheat?
Hapo mwanawane dawa yake simple tuu....wee mwalike huyo jamaa mgonge threesome upate kujifunza namna gani mpenzio anapenda mbususu yake isasambuliweHabar wana jf,
Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga, kunakipindi nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa muda wa kama 2 months umbali ule ulianza kuleta shida maugonvi yakaanza kuwa mengi sana japo tulikuwa tunajaribu sana kuwekana sawa.
To cut a story short baada ya kurud niligundua kuwa kacheat sababu kila alipokua akikaa na mimi akawa kama anakitu anajutia kupitia yale maugonvi yetu na baada ya kumbananisha alilia sana na kukili kuwa nikweli na kusema yale maugonvi yetu alikua yanamvuruga akili so hiyo siku alikunywa sana.
Daah kiukweli niliumia sana wakuu baada kujua na ndio siku nilijua kuwa usaliti unaumiza sana hasa kwa mtu unaempenda sikutaka kuendelea tena kuwa karibu nae nilikaa mbali ila kwake ilikua ngumu sana kukubali wiki nzima yeye ni kulia tu na kujutia usaliti wake hali ilienda wiki nzima.
Kifupi yaliisha nikamsamehe maisha yakaendelea mbaka now sasa shida ni kwamba kinacho nitesa ni ile memory tu kuna kipindi inaibuka tu na kuanza kunitawala kichwani na kuni stress kisha kunisabishia maumivu makali.
Simchukii nampenda kama kawaida ila kuna muda ukipita ile memory inakuja kichwani kwamba Kwaiyo alienda kulala na mwanaume mwingine seriously hii kitu inanipa hard time sana wakuu inanipa maumivu makali sana japo staki kumwambia sababu nikimwambia namjua ataumia sana na kujistress na hatokua na amani kila akiwa na mimi na mimi hicho staki apitie nataka awe happy tu.
Ni kweli anajua nimesamehe na nikweli ila sijasahau najitahid sana mbaka nakua sawa nasahau ila kuna kipindi hali ya kukumbuka inajirudia tena naanza kupitia maumivu makali.
Leo niliamka vizuri na tukawa powa tu nikaenda kazini kipindi nipo kazini ile hali ikanijia aisee maumivu ni makali mbaka narud home nimeingia saa 3 usiku home nikajitahidi sana asijue chochote lakini hata nikimzuga vip huwa anajua kama siko sawa sjui Kwanini nimezuga kuwa niko na furaha kama nilivyo ondoka asubuh lakin nikashangaa ananiambia nahsi kama hauko sawa nini tatizo.
Kiukweli sikuwa sawa kweli moyoni nina maumivu ila nikimwangalia Natamani kumwambia nini napitia lakin najizuia ili nisimfanye aanze kujskia vibaya na kutokua na furaha.
Wakuu naomba msaada kwa ushauri wenu tu bas napitia wakati mgumu mbaka kuna muda nahsi kwenda kwa Therapist au cancellar labda nitapata kitu 😔😔 .
Karibu kwa ushauri wenu Mshana Jr na wengine wote nawategemea
Wale wakunisema Hapana nawaomba sababu kwa hali nilikuwa nayo na ninayopitia ukinisema unazidi kunivurga na kufanya kunipunguzia uwezo wa kufikir jins ya kutatua tatizo.
Kwan umesahau kuwa tuli-connect kwa Bluetooth tuka-share akili yangu na yako, hvy credit ziwe zako 😎Kumbe una akili
Hakuna mwanamke asie cheat bwana utaacha wangapi? Yeye aendelee nae tuu muhimu yule njemba akaribishe igongwe threesome maisha yasongeBro, 😀😀 usimdanganye
Ninachojua, usaliti ukitokea kwa mwanamke huwa anasamehe ila hasahau na kwa mwanaume huwa hasamei ila anasahau.
Mleta uzi itamtesa sana hii kitu kamwe asiamini sana chozi la mwanamke ambaye sie mama yake.
Ushauri: Amfukuze huyo mwanamke ili aishi vzr kwa amani la sivyo ataleta nyuzi nyingine zaidi