Hii hapa Barua aliyoiandika Papa Francis kwenda kwa Rais Samia kabla ya kukata Roho na kuaga Dunia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.

Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.

Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88


Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.

Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.

Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.

Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.

Hii hapa Barua ya Papa

Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Huku mnaua watu
 
Hii barua ina fumbo kubwa sana, Taifa linaloongozwa na Mungu ni taifa lenye haki, Je baba mtakatifu anamkumbusha mama kuhusu haki?

Lakini anamuongelea mheshimiwa kama raia wengine, je anamkumbusha kuwa haki ikitoweka, yeye akiwa kama raia wengine wataonja joto la mapito hayo??

Nadhani hakuna sababu ya kushangilia kwanza, Deciphers wa code watusaidie kwanza
 
Mimi ni mcha Mungu na mwenye Mungu ndani yangu na siyo mchawi na mpiga Ramlkama wewe
Kama wewe mcha Mungu tuwekee barua aliyoandika Pope. Ina maana gani kutuweka " Forwarding letter" ya Balozi wa Vatican!!??
 
Acha wivu wako hapa wewe. Najua wenye chuki binafsi mmeumia sana.
 
Kama wewe mcha Mungu tuwekee barua aliyoandika Pope. Ina maana gani kutuweka " Forwarding letter" ya Balozi wa Vatican!!??
Kama umeumia sana jaribu unywe maji ya Baridi utulize maumivu.
 
Hayati Papa alishaona juhudi za mama kuwaletea maendeleo watanzania ndo maana akakumbuka kuacha ujumbe. Mungu amlaze pema
 
Nchi zote huwa wanandikiwa, hizo Barua hata ikiwa nchi hiyo inabsikuku ya kitaifa hata Sudan ya kusini licha ya kuwa Wana vita vyao wakiwa na Sikukuu ya kitaifa wanandikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…