Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Vyombo vya dola ndiyo huamua nani kavunja Sheria ama ni mahakama!Kazi ya vyombo vya dola ni kulinda amani . Kwa hiyo ukivunja sheria utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Huyu atakuwa jemedari kwa k......undu lako. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haki ya kwenda kusikiliza kesi ya uhani. Wananilazimisha ninunue bando la masaa zaidi ya sita wakati umeme wa kucharge betri ya simu yangu nao ni mgogoro.Kwani umenyimwa haki gani hapo ulipo wewe?
Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa
Wewe, umesoma hii?Ndugu zangu Watanzania,

Sasa wewe vunja sheria na kuleta ujuaji uone moto wakeVyombo vya dola ndiyo huamua nani kavunja Sheria ama ni mahakama!
Watanzania ndiyo Sisi!
Na ikumbukwe kwamba,kama unataka kiutawala nchi ,lazima watu wawepo ili kujijenga Nchi! Sasa watu umewatia ulemavu,umewaza,Wamekimbia Nchi,Wana hofu!Utatawala ni Nini?!!Hawa Chawa watasakusifu kwa lipi au nao watakimbia Nchi, maana wanapamba huku wakila na kunywa.Nchi Haina watu,Kodi hakuna! Viongozi na wapambe wao,Wajitafakali.Barua hiyo inaweza kuwa baraka au laana kwake, itategemea anafanya nini katika utawala wake.
Damu zinazidi kumwagika, na yeye akiendelea kufurahia, wakati anayo nafasi na mamlaka ya kuzuia umwagaji damu zisizo na hatia unaoendelea.
Hakuna laana isiyotanguliwa na maangalizo.
Papa amesema wazi kuwa anaomba ukuu wa Mungu ujalie hekima na busara kwa wahusika wote. Hakuna mahali popote aliposema kuwa Rais Samia anafanya vizuri au anafanya vibaya. Ujumbe wa Papa Francis una fumbo kubwa ndani yake. Anasema anamwomba Mungu wahusika wajaliwe hekima na busara. Je, ameona wamekosa hekima? Au hakujua kama wanayo hekima au hawana? Au ana mashaka wanaweza kukosa hekima?
Jambo la muhimu, ni kuwa Papa ameomba hekima kwaajili ya watu wote wa Taifa hili. Nasi tunamwomva sana Mungu awajalue watawala hekima ya kupenda kutenda haki, kujitenga na dhuluma na kuondokana na kiburi cha madaraka kinachopelekea kuwaona watu wengine siyo binadamu kama wao, na hivyo kumwaga damu zao bila woga, kudhulumu haki zao bila woga, kupora uhuru wao bila ya hofu.
Watawala wakinawa na hekima, nchi itatamalaki haki, haki ikitamalaki, kila mmoja atakuwa na amani. Lakini watawala wakikosa hekima, wataamini
Unapotamka neno sisi uwaorodheshe na hao wenzako. Kuwaunganisha watu wema, wenye akili timamu na ninyi hayawani machawa wanafiki, mashetani mnaofurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia, ni ushetani mkubwa na kuwakosea heshima watu wenye Roho wa Mungu. Ninyi wauaji hamuwezi kuwa wawakilishi ya jamii nzima ya Watanzania. Ninyi hayawani wauaji mtakuwa mnajitambua, msitujumuishe kwenye uibilisi wenu.
Sisi wengine, tunamshukuru Mungu kwani ametufanya kutambua thamani ya uhai na utu wa binadamu wenzetu, ndiyo maana tutapaza sauti bila kuchoka dhidi ya wauaji, na wenye kudhulumu haki za binadamu wenzao, bila ya kujali anayedhulumiwa ni CCM, CHADEMA, ACT au hana chama, maadamu ni mwanadamu, basi ana haki kama walivyo binadamu wengine. Ninyi mashetani mnaotaka watu wote wauawe ili tu CCM itawale milele, ni mashetani wakubwa, na hakika hakika nawaambieni, Mungu hataacha kunyosha mkono wake dhidi yenu na dhidi ya vizazi vyenu ili muonje maumivu ya familia ya Kibao, mliyemwua; familia ya Soka na wengine wote mliowapoteza na kunywa damu zao.
Acha porojo zako hapa weweBarua hiyo inaweza kuwa baraka au laana kwake, itategemea anafanya nini katika utawala wake.
Damu zinazidi kumwagika, na yeye akiendelea kufurahia, wakati anayo nafasi na mamlaka ya kuzuia umwagaji damu zisizo na hatia unaoendelea.
Hakuna laana isiyotanguliwa na maangalizo.
Papa amesema wazi kuwa anaomba ukuu wa Mungu ujalie hekima na busara kwa wahusika wote. Hakuna mahali popote aliposema kuwa Rais Samia anafanya vizuri au anafanya vibaya. Ujumbe wa Papa Francis una fumbo kubwa ndani yake. Anasema anamwomba Mungu wahusika wajaliwe hekima na busara. Je, ameona wamekosa hekima?
Unapotamka neno sisi uwaorodheshe na hao wenzako. Kuwaunganisha watu wema, wenye akili timamu na ninyi hayawani machawa wanafiki, mashetani mnaofurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia, ni ushetani mkubwa na kuwakosea heshima watu wenye Roho wa Mungu. Ninyi wauaji hamuwezi kuwa wawakilishi ya jamii nzima ya Watanzania. Ninyi hayawani wauaji mtakuwa mnajitambua, msitujumuishe kwenye uibilisi wenu.
Sisi wengine, tunamshukuru Mungu kwani ametufanya kutambua thamani ya uhai na utu wa binadamu wenzetu, ndiyo maana tutapaza sauti bila kuchoka dhidi ya wauaji, na wenye kudhulumu haki za binadamu wenzao, bila ya kujali anayedhulumiwa ni CCM, CHADEMA, ACT au hana chama, maadamu ni mwanadamu, basi ana haki kama walivyo binadamu wengine. Ninyi mashetani mnaotaka watu wote wauawe ili tu CCM itawale milele, ni mashetani wakubwa, na hakika hakika nawaambieni, Mungu hataacha kunyosha mkono wake dhidi yenu na dhidi ya vizazi vyenu ili muonje maumivu ya familia ya Kibao, mliyemwua; familia ya Soka na wengine wote mliomwaga damu zao.
Vipi mzee habari za huko Marekani.Kwani hii lugha ya Kiswahili ni ngumu hivyo...? Angekata roho bila kuaga dunia...?
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania wote watashiriki kikamilifu kabisaNO REFORM NO ELECTION
Uchafuzi na sio uchaguziUchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania wote watashiriki kikamilifu kabisa
Endelea kuzubaa zubaa wakati Watu tukisonga mbele.Uchafuzi na sio uchaguzi
Kweli nchi ikikosa Elimu na Majanga. Investment kubwa kaitka maisha yako mpe mwanao Elimu.Taifa letu linaongozwa na mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu na ndio maana tunaendelea kuwa kisiwa cha amani .
Nonsense.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha porojo zako hapa wewe
Utakufa na kuiacha CCM madarakani ikiendelea kuongoza Taifa letu kwa haki kabisa.Sina muda wa kufanya argument na ninyi fools mliojaa ushetani. Mikono yenu imejaa damu za wasio na hatia. Shetani siku zote yupo kwaajili ya uovu, ndiyo maana ninyi mawakala wake, kukifanyika uovu dhidi ya binadamu wenzenu, mnafurahia. Mlipomwaga damu ya Ali Kibao mlishangilia, mlipomwaga damu ya mgombea kitongoji mlishangilia, mlivyomwaga damu kule Tunduma mlishangilia, na hata sasa mlivyowavunja mikono na miguu walioenda mahakamani, bado mpo kwenye sherehe. Endeleeni kushangilia uovu, maana hiyo ndiyo imani na dini yenu. Kakini zaja nyakati zitakazokuwa za majuto makuu kwenu kwani hamtaweza kamwe kumfanya kila mtu awe muumini wa uovu wenu.