Hivi Papa anajua kuna kitu inaitwa siku ya Muungano?! Miaka yote mbona hatujawahi kuona hii kitu?; Kwanini mwaka huu? Barua ya Papa ije JF kupitia kwa Lucas Mwashambwa? Kweli? Hakuna kitu kama hicho. Acheni kupika uhuni.Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote 😁🇹🇿