Hii hapa Barua aliyoiandika Papa Francis kwenda kwa Rais Samia kabla ya kukata Roho na kuaga Dunia

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.

Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.

Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.

Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.

Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.

Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.

Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666

Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula
Mzee wako angejua manii iliyokuunda angepiga tuu nyeto
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unatafuta teuzi huwezi pata
 
Hivi visifa vya machawa ndivyo vina mfanya huyu Rais ana sahau wajibu wake kwamba aliapa kuitii na kuilinda katiba na kuwa kiongozi wa Watanzania wote. Acheni ujinga..
 
Rubbish
 
Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote šŸ˜šŸ‡¹šŸ‡æ
Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.
Papa hahusiki kuandika jumbe hizi za kidiplomasia after alikuwa ana pumulia mashine wakati huo .
Mtaji wa CCM ni ujinga wa wafuasi wao.
 
Attachments

  • mauaji.mp4
    10.5 MB
Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.
Papa hahusiki kuandika jumbe hizi za kidiplomasia after alikuwa ana pumulia mashine wakati huo .
Mtaji wa CCM ni ujinga wa wafuasi wao.
Umewaza kama mimi.
 
Watu washaingizwa chaka.
 
Back
Top Bottom