Wewe ndiye acha ujinga. Na wewe fanya kazi na kuleta matokeo chanya na yenye kugusa maisha ya watu uone kama hutapongezwa na watu. Sasa unataka usifiwe vipi wakati umekalia umbeya umbeya tuHivi visifa vya machawa ndivyo vina mfanya huyu Rais ana sahau wajibu wake kwamba aliapa kuitii na kuilinda katiba na kuwa kiongozi wa Watanzania wote. Acheni ujinga..
Hiyo mipira ya kupumulia ulimuwekea wewe?Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.
Papa hahusiki kuandika jumbe hizi za kidiplomasia after alikuwa ana pumulia mashine wakati huo .
Mtaji wa CCM ni ujinga wa wafuasi wao.
Tanzania ni Nchi ya Amani na ndio maana hata papa alikuwa analitambua hilo .Hajasisitiza Muendeleze wizi na uuaji ?
Sasa umeona wapo hapo papa akichanganya na kuleta habari za Siasa. Kama ambavyo baadhi ya viongozi wa Dini hapa Nchini wamekuwa wakijigeuza kuwa vipaza Sauti vya wanasiasa katika madhabahu ya Bwana.Kwamba hapa dini haijachanganywa na siasa siyo!!?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani umenyimwa haki gani hapo ulipo wewe?Wanaupokea na kuutangaza kwa furaha na maombi juu.. Lakini wakimbia habari za haki, Hawataki, wanasema Amani
Wivu tuuu ndio unaokusumbua. Maana ninyi na kiroho yenu ya kishetani mlitamani kuona barua mbaya mbaya ili mkenua meno yenu kwa furaha. Lakini mkiona barua za upendo kama hizi kutoka kwa kiongozi mkubwa kama papa mnaumia sana mioyo yenu. Mwaka huu jiandaeni kisaikolojia maana mama anakwenda kuweka rekodi ya Dunia katika sanduku la kuraJambo la Ajabu ni nini?
Hao ni viongozi, wanaandikiana barua kama hizo mara kibao tu
Kuna mwakilishi wa papa hapa so kitu gani cha ajabu
Kwa hiyo wewe ni kipofu wa akili na macho mpaka umeshindwa kuona kazi njema na ya kutukuka iliyofanywa na Rais wetu Mpendwa? Huoni aibu ? Kama viongozi wakubwa aina ya Papa anaona mema na mafanikio makubwa kwa Taifa letu chini ya uongozi imara wa Rais Samia. Wewe ni nani mpaka upinge? Unaumwa ugonjwa gani?Wewe unalijua?
Nyerere angeamka leo angekutandika viboko vya kutosha. Njaa ya uteuzi isikutoe akili
Hubiri Mema ya nchi,, kemea maovu, ongelea nchi sio personality
Kanuni za uchaguzi ni nzuri na ndio maana wananchi wameridhika nazo na wapo tayari kushiriki uchaguzi kikamilifuAmemwambia Raisi Samia anaomba Mungu awape busara wote wanaokaa ndani ya Tanzania. Nadhani wote tumepata hizo busara isipokuwa watu wa CCM, wao hawajapewa hata chembe! La sivyo Raisi Samia angesikia ushauri wa viongozi wa dini ya Katoliki nchini kuhusu kanuni za uchaguzi
Kwani wapi umeona katika andiko langu nimeandika kuwa hii ni barua ya maombi ya uteuziUnatafuta teuzi huwezi pata
Wivu tuuu ndio unaokusumbua. Maana ninyi na kiroho yenu ya kishetani mlitamani kuona barua mbaya mbaya ili mkenua meno yenu kwa furaha. Lakini mkiona barua za upendo kama hizi kutoka kwa kiongozi mkubwa kama papa mnaumia sana mioyo yenu. Mwaka huu jiandaeni kisaikolojia maana mama anakwenda kuweka rekodi ya Dunia katika sanduku la kura
Rais wetu ni kiongozi safi asiye na doa la aina yoyote ile. Ndio maana anaendelea kupendwa,kuungwa mkono na kukabilika kwa watanzaniaHasafishiki
Nenda kwenye andiko langu uone tarehe aliyo fariki.Hivi alifariki tarehe ngapi
Liko wapi mkuu nipe linkNenda kwenye andiko langu uone tarehe aliyo fariki.
Duh,Taifa letu linaongozwa na mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu na ndio maana tunaendelea kuwa kisiwa cha amani .