Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
Ulitaka ujumbe wa Papa uje na naniHahahahah ..........wewe ndo wa kuja na ujumbe wa Papa? Itakuwa ujumbe wa pama mobimba
Ulitaka ujumbe wa Papa uje na naniHahahahah ..........wewe ndo wa kuja na ujumbe wa Papa? Itakuwa ujumbe wa pama mobimba
Huo ujinga wenu umekataliwa na watanzania. Ndio maana mmepuuzwa vibaya sana.Kama mcha Mungu mbona unapinga,no reform no election,ili watu wabubujikwe na machozi ya furaha kwa kuwaunga mkono!
Anawatambua kama vibaraka wake mlio chini ya Ulinzi mkali.Tanzania ni Nchi ya Amani na ndio maana hata papa alikuwa analitambua hilo .
Ni vipenzi vya wana Arusha.Jamaa zako Arusha wanaumbuana tuu!,Nao ni vipenzi vya Watanzania!
Haki ya no reform no electionKwani umenyimwa haki gani hapo ulipo wewe?
Hapo wanatekekeza vyema upendo wa chama?Ni vipenzi vya wana Arusha.
Nimekuambia teuzi huwezi pataKwani wapi umeona katika andiko langu nimeandika kuwa hii ni barua ya maombi ya uteuzi
Waliopuuzwa na watanzania inakuwaje "wanaokubalika" watumie nguvu za dola kupambana nao!?Huo ujinga wenu umekataliwa na watanzania. Ndio maana mmepuuzwa vibaya sana.
Papa ni Kiongozi I mkuu wa dunia
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania watashiriki kikamilifu. Wewe hujiuliza kwanini watanzania hawawaungi mkono ?Haki ya no reform no election
Kazi ya vyombo vya dola ni kulinda amani . Kwa hiyo ukivunja sheria utawajibishwa kwa mujibu wa sheria . Tii sheria bila shuruti ili usije vunjwa miguu yako na kuteguliwa kiuno.Waliopuuzwa na watanzania inakuwaje "wanaokubalika" watumie nguvu za dola kupambana nao!?
Acha kuweweseka wewe. Naona unaumia sanaMnajitungia barua kwa kufanya editing hadi mnakosea. bet wishes kitu gani kwenye barua? font size kwenye address na neno Dar es Salaam zimetofautiana.
Roman Catholic wapo makini zaidi ya hicho mlicholeta.
Kwani wapi nimekwambia natafuta teuzi.Nimekuambia teuzi huwezi pata
Tanzania haijawahi kuwa kibaraka wa mtu au Taifa lolote lile.Anawatambua kama vibaraka wake mlio chini ya Ulinzi mkali.
Warumi.
Kwani waliopigwa huko mahakamani sio watanzania!Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania watashiriki kikamilifu. Wewe hujiuliza kwanini watanzania hawawaungi mkono ?
Watanzania ndiyo Sisi!Huo ujinga wenu umekataliwa na watanzania. Ndio maana mmepuuzwa vibaya sana.
Wewe na naniWatanzania ndiyo Sisi!