Hakika jemedali, mikoa ya wazalishaji na wapambanaji kama Mwanza na Mbeya hawapati kile wanachostahili.Umekurupuka hujaelewa mada.
Pili muendelee kuzidi hapo wakati Hadi hapo mumetumia pesa za wengine 🤣🤣🤣🤣
Inaelekea watu wengi hamuelewi hata maana ya GDP
Usiuite uzembe wa serikali ya Tanzania laana?Ngoja nikueleze kitu usichojua kagera naifahamu yote, hiyo miradi unayotaja ilitakiwa iwe muda mrefu imeisha mlitengwa na serikali, angalia mfano, serikali wakitaja kanda ya magharibi wanataja katavi, tabora na kigoma, na kanda ya ziwa wanataja mwanza, geita, mara, shinyanga, simiyu hapo ni kwenye maendeleo kwenye kutafuta kura ndio utasikia kagera inatajwa iko kanda ya ziwa, kumbuka kagera ni lango la Burundi kupitia ngara kabanga, Rwanda kupitia Rusumo, Uganda kupitia mutukula, yaani hoja kubwa ni Kwa nini waliiacha nyuma? Nilikuepo kagera kipindi hicho rafiki yangu marehemu kamanda tossi anafanya operation zake kutokomeza ujambazi huko, basi tu tunaposema mkoa una kila kitu inabidi usiachwe kabisa,
Ungejua kagera inazilisha 25% ya maharage yote nchi hii usingeongea haya...zaidi ya 70% ya ndizo, zaidi 60% ya kahawa...80% ya vanillaUmelalamika sana mkuu!!🙄🙄
Hivi mkoa wa Kagera hauna wawakilishi kwenye vikao vya maamuzi?
Shirikianeni na wabunge wenu, zalisheni mahindi, maharage na matunda kwa wingi mrudishe heshima yenu.
Huna akili! Arusha ipo juu mno ukitoa dar ni Arusha kwa maendeleo achana na hizi paperworks.Hakuna kitu kama hicho, Arusha wanajionaga wa mbele sana. Hivi unajua wanachoringia Arusha ni matajiri wachache wenye hela nyingi ambapo matajiri hawa wachache hawawezi kuwa sehemu kubwa ya maendeleo ya mkoa.
Takwimu hizi za uchumi ziko kwenye shughuli za uzalishaji za Kila siku kutoka taasisi zote za Nchi ,so hata wao wameweka error factor Hadi wanazitoa.Hv uliwai kuajiliwa kukusanya data alafu ukajikuta umechoka? Kinachofata uwa nikupika data nikuakikishie NBS hawana watu wakukisanya takwimu za kutosha kutoa reality ya majibu yao. Takwimu zao nizakupikwa.
Arusha kama Mkoa au kama Jiji ,inaelekea huelewi takwimu au huelewi unachoongea.Huna akili! Arusha ipo juu mno ukitoa dar ni Arusha kwa maendeleo achana na hizi paperworks.
Mdau uko tayari? Utakimbia jukwaa sio mda 🤣🤣Tukija kwenye GDP per capital Arusha ni ya pili baada ya Dar es salaam.
Sawa lakini baada ya kuthaminisha vyoote GDP yenu iliyopatikana ni Trilioni 4.9 tuu 🤣🤣Ungejua kagera inazilisha 25% ya maharage yote nchi hii usingeongea haya...zaidi ya 70% ya ndizo, zaidi 60% ya kahawa...80% ya vanilla
Hapo hujataja Dagaa...
Lakini angalia viwanda vilivyopo kagera, angalia makodi na beria zilizopo barabarani kuwazuia wanakagera wasiuze vitu vyao nchi jirani..?
Vitu mpaka vinaozea mashambani. Mtu ukitaka kufanya biashara ya logistics kununua hayo mazao na kuuza pengine utakutana na beria za kodi kila baada ya km 10. Ndo maana wengi wanakimbia huu mkoa. Maana nikama umebanww hivi na serikali
Watu wanauza mazao yao kama majambazi. Ukikutwa unauzia kahawa yako waganda...unafungwa kwa kesi ya uhujumu uchumi bila dhamana
Mm ue nina shanga’s kama tunazalisha 60% ya zao la kahawa kwanin kahawa yetu ipelekwe kwenye mdada moshi wakati kuna nchi jirani kama Burundi , Rwanda na Uganda wote wanalima kahawa kwann mnada wa jumla usijengwe pale Mutukula ili kuwezesha ushindani wa bei ya kahawa yetu na kukuza export ?Ungejua kagera inazilisha 25% ya maharage yote nchi hii usingeongea haya...zaidi ya 70% ya ndizo, zaidi 60% ya kahawa...80% ya vanilla
Hapo hujataja Dagaa...
Lakini angalia viwanda vilivyopo kagera, angalia makodi na beria zilizopo barabarani kuwazuia wanakagera wasiuze vitu vyao nchi jirani..?
Vitu mpaka vinaozea mashambani. Mtu ukitaka kufanya biashara ya logistics kununua hayo mazao na kuuza pengine utakutana na beria za kodi kila baada ya km 10. Ndo maana wengi wanakimbia huu mkoa. Maana nikama umebanww hivi na serikali
Watu wanauza mazao yao kama majambazi. Ukikutwa unauzia kahawa yako waganda...unafungwa kwa kesi ya uhujumu uchumi bila dhamana
Mikoa yote yenye madini ilitakiwa kua on top 5 ya over 10b after Dsm something is not right hapo ,either nchi inapigwa au tunawaonea huruma wenye migodi mikubwa iliwao wapate zaidi,ukiangalia hizo over 10b ni kilimo na sio natural resources zinazoibeba ukiondoa DsmKwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi.
Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa Uchumi wa Kila Mkoa Kwa Tanzania Bara.
Kwa Mujibu wa Takwimu hizo , imebainisha Mikoa 10 ambayo imeshikilia Uchumi mkubwa wa Tanzania yaani yenye Pato la Mkoa (Regional GDP) ya kuanzia kuanzia Shilingi Trilioni 6.7 Hadi Trilioni 32.2.
Mikoa hiyo 10 inashikilia zaidi ya asilimia 70% ya Uchumi wa Nchi huku Mikoa mingine 14 Kwa pamoja ikibakia na asilimia 30% tuu.
Kiufupi mpaka hapo inaonesha umaskini mkubwa huko Mikoani Kwa sababu haiwezekani Mikoa 12 iwe na Uchumi mkubwa kushinda Mikoa 14. Hapa Serikali Ina kazi ya kufanya.
Orodha ya Mikoa hiyo Heavy Weights na Pato la Kila Mkoa (Trilioni) ni ;
A)Kundi La Kwanza(Top 3 Regions)-Mikoa yenye pato Zaidi ya Trilioni 10.
1.DSM =32.2
2.Mwanza =13.5
3.Mbeya =10.7
B)Kundi La Pili-Pato Kuanzia Trilioni 8.0-9.9
4.Arusha=8.8
5.Tanga=8.8
6.Morogoro=8.8
7.Geita=8.6
8.Kilimanjaro=8.2
C)Kundi La Tatu-Pato kuanzia Trilioni 6.5-8.0
9.Ruvuma=7.1
10.Shinyanga=6.7
11.Mara=6.7
12.Tabora=6.7
My Take
Mikoa ya Ruvuma, Shinyanga, Mara, Geita na Tabora ni game changer kwenye Uchumi wa Nchi, kutoka kusikojulikana hadi kuwa Mikoa muhimu ni jambo la kupongezwa na kuonesha kwamba kumbe ukifungua Nchi Kwa miundombinu Uchumi unafufuka.
Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi lakini haichangii chochote Cha maana kwenye Uchumi wa Nchi.Pwani inaongoza Kwa viwanda Tanzania lakini ni kama havina Msaada wa Moja kwa kwenye Uchumi wa Mkoa labda mauzo ya Nje ya Nchi nk.
Mwisho, Serikali Ipeleke rasimali za Kutosha kwenye Mikoa ya Mwanza na Mbeya kulingana na Mchango wao kwenye Uchumi.
Haipendezi kuchukua jasho la watu wa Mikoa mingine na kwenda kujengwa Dar, Dodoma na Arusha. Mgawanyo wa Rasilimali ufanyike Kwa uwiano mzuri.
View attachment 3060612
Angalizo:
•Uchambuzi huu sio rasmi Bali ni abstract tuu,hivyo uchukuliwe Kwa lengo la kutoa picha ya Juu Juu kuhusu Hali ya Uchumi wa Mikoa.
•Uchambuzi rasmi na takwimu rasmi za matumizi ni zile zinazotolewa na mamlaka husika kama NBS,ESRF,FinScope,BoT nk.
Kwenye hili mnapotezaje pesa ikiwa mnarudi na hela yenu mkononi?Mm ue nina shanga’s kama tunazalisha 60% ya zao la kahawa kwanin kahawa yetu ipelekwe kwenye mdada moshi wakati kuna nchi jirani kama Burundi , Rwanda na Uganda wote wanalima kahawa kwann mnada wa jumla usijengwe pale Mutukula ili kuwezesha ushindani wa bei ya kahawa yetu na kukuza export ?
Ndiyo maana nilisema mshirikiane na wabunge ili wakae na taasisi nyingine waone namna ya kumsaidia mkulima.Ungejua kagera inazilisha 25% ya maharage yote nchi hii usingeongea haya...zaidi ya 70% ya ndizo, zaidi 60% ya kahawa...80% ya vanilla
Hapo hujataja Dagaa...
Lakini angalia viwanda vilivyopo kagera, angalia makodi na beria zilizopo barabarani kuwazuia wanakagera wasiuze vitu vyao nchi jirani..?
Vitu mpaka vinaozea mashambani. Mtu ukitaka kufanya biashara ya logistics kununua hayo mazao na kuuza pengine utakutana na beria za kodi kila baada ya km 10. Ndo maana wengi wanakimbia huu mkoa. Maana nikama umebanww hivi na serikali
Watu wanauza mazao yao kama majambazi. Ukikutwa unauzia kahawa yako waganda...unafungwa kwa kesi ya uhujumu uchumi bila dhamana
Sijaona logic ya ulichoongea maana pesa zote za madini ziko accounted so walichopata ndicho walistahili unless kama umechimba hayo Madini ukaenda kuuzia kwingine hapo zile transactions zinapungua but hela utakayorudi nayo na ukaiweka kwenye account ya Mkoa wako inahesabiwa kwenye Mkoa wako.Mikoa yote yenye madini ilitakiwa kua on top 5 ya over 10b after Dsm something is not right hapo ,either nchi inapigwa au tunawaonea huruma wenye migodi mikubwa iliwao wapate zaidi,ukiangalia hizo over 10b ni kilimo na sio natural resources zinazoibeba ukiondoa Dsm
Serikali isaidie mikoa yenye fursa kama Kagera, Njombe, Iringa na Rukwa ili ingie kwenye ushindani katika uzalishaji na namna bora ya kulifikia soko bila vikwazo.Sawa lakini baada ya kuthaminisha vyoote GDP yenu iliyopatikana ni Trilioni 4.9 tuu 🤣🤣
Vyama vya ushirika kuja kupanga bei ya kahawa vinaanza kutoa gharama zote kwenye bei ya mauzo ndo wanapata bei ya kahawa kwa musimu usika. Sasa usafirishaji na logistic za kupeleka kahawa dar es salaam nisawa na kuuzia kahawa Mutukula.Kwenye hili mnapotezaje pesa ikiwa mnarudi na hela yenu mkononi
Nimeshasema hakuna excuses yeyote ya kuhalalisha uvivu,hayo inayosema yanafanyika Kila Mkoa.Mfani Korosho na tena umekuja utaratibu mwingine wa stakabadhi ghalani hakuna kuuza Baadhi ya mazao individually.Vyama vya ushirika kuja kupanga bei ya kahawa vinaanza kutoa gharama zote kwenye bei ya mauzo ndo wanapata bei ya kahawa kwa musimu usika. Sasa usafirishaji na logistic za kupeleka kahawa dar es salaam nisawa na kuuzia kahawa Mutukula.
Unamdanganya nani? Hayo maishe yenu Bora yatoke wapi ikiwa hamzalishi kulingana na idadi yenu?Unaongelea maendeleo ya wakazi wa eneo husika au unaongelea mali zinazovunwa katika eneo husika?? Mikoa mingi hapo unaiona juu lakini Maisha yao duni kulika Kagera kwa Sababu ya maliasili zilizopo na zinavunwa kwenda Kuleta maendeleo kwingine. Bora ungekuja na mapato ya halmashauri yanayogusa direct shughuli za wananchi ungeeleweka otherwise hizi porojo unajipigia tu
Ata ujaelewa mada hv unafahamu swala la mnada wa kahawa kuwa moshi unaisaidiaje moshi kimapato?Nimeshasema hakuna excuses yeyote ya kuhalalisha uvivu,hayo inayosema yanafanyika Kila Mkoa.Mfani Korosho na tena umekuja utaratibu mwingine wa stakabadhi ghalani hakuna kuuza Baadhi ya mazao individually.
Lakini pia Kwa watu wa nafaka hawauzi wanapotaka Bali huzuiwa na Serikali mfano mwaka huu Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini nafaka zinauzwa 40,00-70,000 kutegemea na umbali Kwa gunia la kilo 100 wakati wangeachwa wangeenda kuuza hata 100k Nchi jirani Zenye njaa.
Kagera hakuna excuses watu wengi ila hakuna wanachofanya zaidi ya kupigana miti na Kujikimu.