Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

Muonewe Kwa lipi? Nyie ni wavivu.Hayo yote uliyoyaeleza kama hamtafumii kukuza Uchumi alaumiwe nani Sasa , Serikali au? 🤣🤣🤣🤣

Namba hazidanganyi ,punguzeni Maneno fanyeni kazi.Kurundika madegree kama Tibaijula haikuzi kipato.
Mimi siyo mtu wa Kagera! Ni mpitaji tu. Nilifika huku wiki hii, leo nalala Ngara mjini na kesho naondoka.

Sijauzungumzia mkoa wa Kagera kiushabiki. Sina maslahi nao. Niliyoyaandika ni maoni yangu huru kwa mujibu wa ukweli nilioushuhudia kwa macho yangu.

Kama ni ushabiki, basi ningeutetea mkoa wa Arusha kwa sababu ndiko nilikozaliwa, kwa hiyo ni kwetu, au Mwanza kwa kuwa nina makazi huko, kwa hiyo ni kwangu.

Kagera, kuanzia Bukoba, Ngara, ile wilaya iliyopo mpakani na Uganda, nafikiri ni Misenyi, na Karagwe, ni maeneo mazuri sana kuanzia hali ya hewa hadi rutuba ya ardhi. Ukiongezea uwepo wa Ziwa Victoria, ni sababu za msingi ambazo zingeufanya huu mkoa kuwa na vitega uchumi vya uhakika.

Watu wa Kagera wamepunjwa sana. Hebu waruhusuni basi hata wakauze kahawa yao Uganda kwa bei nzuri badala ya kuwadalalia kwa manufaa ya wachache muone kama hawatapiga hatua za kiuchumi.
 
Nchi hii ambayo inathamini machawa kama wew kuliko wasomi?
Mikoa mingine ambayo imeendelea hakuna machawa? Nyie wasomi mna Msaada gani zaidi ya porojo? Hayo makaratasi mliyojaza kwenye makabati ndio yanazalisha ? 😁😁

Majinga kweli nyie kama Wafuasi wa Jiwe
 
Hakuna laana yoyote. Ungejua miradi inayotekelezwa Kagera. Ungekaa kimya tu...
Zaidi ya Km 150 za lami zinajengwa kagera, km 5 za njia nne Bukoba mjini, upanuzi wa bandari za Bukoba na kemondo, kuna meli mpya ya Mv mwanza inaanza safari za Mwanza Bukoba soon...uwanja wa Bukoba unawekewa taa za kuongoza ndege ( kigoma ule uwanja acha tu)...
Kuna miradi ya maji kibao tu ya kusambaza maji vijijini huko kama mradi wa maji kutoa ziwa victoria ( vijiji kibao Bukoba vijijini karibu na kwa kina bashiru ally kemondo vinawekewa maji ya bomba) kuna mradi wa maji wa kyaka... vijiji kibao vina maji ya bomba

Kuna campus mpya ya chuo cha UDSM inajengwa km chache kutoka Bukoba mjini...kwenye mashule na hospital huko usiongee kabisa

Hizo takwimu za makaratasi zisikupumbaze. Kigoma bado sana kulinganisha na kagera. Huo ndo uhalisia...sio kigoma tu mikoa mingi bado sana kulinganisha na kagera...

Siku hiz hadi barabara za vijijini mfano ile ya muhutwe, kamachumu nshamba...na ile ya muleba Rubya zina lami!
Hivi wananchi wanaozalisha mazao ambayo unategemea yasafirishwe na hiyo meli kupitia hiyo bandari wananazalisha na kuuza katika hali gani? Nijibu hili.

Kuna mwalo maarufu sana huko wanaita bugabo niliona alienda Chalamila wakati akiwa RC na ni maarufu kwa uzalishaji wa dagaa safi sana, wale dagaa waliooneshwa wanavuliwa kwa wingi sana na mpaka wavuvi wanakosa sehemu ya kuwauzia na kushindwa kuwasafirisha kuwapeleka sehemu nyingine wamewekewa mikakati gani ya kuwajengea barabara wanayotumia na kuwaruhusu kuuza kwa wanunuzi kutoka nchini jirani? Je, wanaruhusiwa wanunuzi kusafirisha kwenda sehemu nyingine?
 
Mimi siyo mtu wa Kagera! Ni mpitaji tu. Nilifika huku wiki hii, leo nalala Ngara mjini na kesho naondoka.

Sijauzungumzia mkoa wa Kagera kiushabiki. Sina maslahi nao. Niliyoyaandika ni maoni yangu huru kwa mujibu wa ukweli nilioushuhudia kwa macho yangu.

Kama ni ushabiki, basi ningeutetea mkoa wa Arusha kwa sababu ndiko nilikozaliwa, kwa hiyo ni kwetu, au Mwanza kwa kuwa nina makazi huko, kwa hiyo ni kwangu.

Kagera, kuanzia Bukoba, Ngara, ile wilaya iliyopo mpakani na Uganda, nafikiri ni Misenyi, na Karagwe, ni maeneo mazuri sana kuanzia hali ya hewa hadi rutuba ya ardhi. Ukiongezea uwepo wa Ziwa Victoria, ni sababu za msingi ambazo zingeufanya huu mkoa kuwa na vitega uchumi vya uhakika.

Watu wa Kagera wamepunjwa sana. Hebu waruhusuni basi hata wakauze kahawa yao Uganda kwa bei nzuri badala ya kuwadalalia kwa manufaa ya wachache muone kama hawatapiga hatua za kiuchumi.
Huo Mkoa imejaa watu wavivu ,hakuna excuses yeyote.Ukisema wanazuia sijui Kahawa hata Mikoa mingine hususani Nyanda za Juu ambao wanaozalisha zaidi mazao ya nafaka wanazuiwa kuuza wanakotaka.

Huo Mkoa wa Kagera watu wanathamini makaratasi Sasa makaratasi uanazalisha? Yataenda shambani?

Hakuja excuses ni uvivu na majungu tuu
 
Hivi wananchi wanaozalisha mazao ambayo unategemea yasafirishwe na hiyo meli kupitia hiyo bandari wananazalisha na kuuza katika hali gani? Nijibu hili.

Kuna mwalo maarufu sana huko wanaita bugabo niliona alienda Chalamila wakati akiwa RC na ni maarufu kwa uzalishaji wa dagaa safi sana, wale dagaa waliooneshwa wanavuliwa kwa wingi sana na mpaka wavuvi wanakosa sehemu ya kuwauzia na kushindwa kuwasafirisha kuwapeleka sehemu nyingine wamewekewa mikakati gani ya kuwajengea barabara wanayotumia na kuwaruhusu kuuza kwa wanunuzi kutoka nchini jirani? Je, wanaruhusiwa wanunuzi kusafirisha kwenda sehemu nyingine?
Barabara hazipo? Tena huo Mkoa inapakana na Nchi 3,why can't you do cross border trade?

Na bahati nzuri,Jamii za watu wanaozunguka Kagara ni Waziri sana Kwa biashara ila why wenyewe watu wa Mkoa huo Wameshindwa kufanya biashara kama Waganda,Waha,Wanyarwanda au Warundi?

No excuses yeyote ni uvivu na majungu tuu
 
Hakuna laana yoyote. Ungejua miradi inayotekelezwa Kagera. Ungekaa kimya tu...
Zaidi ya Km 150 za lami zinajengwa kagera, km 5 za njia nne Bukoba mjini, upanuzi wa bandari za Bukoba na kemondo, kuna meli mpya ya Mv mwanza inaanza safari za Mwanza Bukoba soon...uwanja wa Bukoba unawekewa taa za kuongoza ndege ( kigoma ule uwanja acha tu)...
Kuna miradi ya maji kibao tu ya kusambaza maji vijijini huko kama mradi wa maji kutoa ziwa victoria ( vijiji kibao Bukoba vijijini karibu na kwa kina bashiru ally kemondo vinawekewa maji ya bomba) kuna mradi wa maji wa kyaka... vijiji kibao vina maji ya bomba

Kuna campus mpya ya chuo cha UDSM inajengwa km chache kutoka Bukoba mjini...kwenye mashule na hospital huko usiongee kabisa

Hizo takwimu za makaratasi zisikupumbaze. Kigoma bado sana kulinganisha na kagera. Huo ndo uhalisia...sio kigoma tu mikoa mingi bado sana kulinganisha na kagera...

Siku hiz hadi barabara za vijijini mfano ile ya muhutwe, kamachumu nshamba...na ile ya muleba Rubya zina lami!
Ngoja nikueleze kitu usichojua kagera naifahamu yote, hiyo miradi unayotaja ilitakiwa iwe muda mrefu imeisha mlitengwa na serikali, angalia mfano, serikali wakitaja kanda ya magharibi wanataja katavi, tabora na kigoma, na kanda ya ziwa wanataja mwanza, geita, mara, shinyanga, simiyu hapo ni kwenye maendeleo kwenye kutafuta kura ndio utasikia kagera inatajwa iko kanda ya ziwa, kumbuka kagera ni lango la Burundi kupitia ngara kabanga, Rwanda kupitia Rusumo, Uganda kupitia mutukula, yaani hoja kubwa ni Kwa nini waliiacha nyuma? Nilikuepo kagera kipindi hicho rafiki yangu marehemu kamanda tossi anafanya operation zake kutokomeza ujambazi huko, basi tu tunaposema mkoa una kila kitu inabidi usiachwe kabisa,
 
Ruvuma kuna uvunaji mkubwa sana wa Makaa ya mawe unaendelea. Huu uvunaji hauna impact ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida wa Ruvuma zaidi ya kuongeza mapato ya Mkoa na Taifa. Maisha ya wanaruvuma bado ni duni sana kusema kweli.

Kila mara nasema itungwe sheria kulazimisha sehemu ya mapato yatokanayo na rasilimali ibaki eneo husika ili kusaidia maeneo hayo kiinuka kiuchumi. Kwa sasa wanaruvuma wanashangaa tu malori maelfu kwa maelfu yanasomba mkaa kila uchao bila faida yoyote kwao
Sahii kabisa, kama ni maeneo yaviwanda yapo. Yakutosha
 
Huo Mkoa imejaa watu wavivu ,hakuna excuses yeyote.Ukisema wanazuia sijui Kahawa hata Mikoa mingine hususani Nyanda za Juu ambao wanaozalisha zaidi mazao ya nafaka wanazuiwa kuuza wanakotaka.

Huo Mkoa wa Kagera watu wanathamini makaratasi Sasa makaratasi uanazalisha? Yataenda shambani?

Hakuja excuses ni uvivu na majungu tuu
Lakini sikuwahi kusikia wanalia njaa kwa kushindwa kwenda shambani. Waulize ni kwanini waliachana na kulima chai lakini mkoa wa iringa chai bado inazalishwa na ukijua mikakati iliyowekwa na hii serikali yetu kwa upande wa iringa urudi hapa. Nilipitia document ya uzalishaji wa chai nchini na kufa kwa zao la chai katika mkoa huo ilionesha kwa huo mkoa chai ilikuwa inazalishwa kwa wingi mpaka shule za msingi na sekondari zilikuwa na mashamba yao ya chai wanaingiza pesa. Waulize ni kwanini kwasasa hata hizo shule ambazo ni za serikali ziliachana na kutelekeza hayo mashamba na zile zilizokuwa na mashamba ya kahawa ni kwanini waliachana na kuzalisha pia.
 
Ngoja nikueleze kitu usichojua kagera naifahamu yote, hiyo miradi unayotaja ilitakiwa iwe muda mrefu imeisha mlitengwa na serikali, angalia mfano, serikali wakitaja kanda ya magharibi wanataja katavi, tabora na kigoma, na kanda ya ziwa wanataja mwanza, geita, mara, shinyanga, simiyu hapo ni kwenye maendeleo kwenye kutafuta kura ndio utasikia kagera inatajwa iko kanda ya ziwa, kumbuka kagera ni lango la Burundi kupitia ngara kabanga, Rwanda kupitia Rusumo, Uganda kupitia mutukula, yaani hoja kubwa ni Kwa nini waliiacha nyuma? Nilikuepo kagera kipindi hicho rafiki yangu marehemu kamanda tossi anafanya operation zake kutokomeza ujambazi huko, basi tu tunaposema mkoa una kila kitu inabidi usiachwe kabisa,
Atleast umekuwa sehemu ya nilichokiandika kuhusu kutajwa na kutengwa kwa huo mkoa katika suala zima la mikakati ya maendeleo
 
Waache uchawi
Kagera ni wachawi?

Hakuna mkoa usiokuwa na washirikina, lakini sidhani Kagera itaingia kwenye mikoa 10 inayoongoza kwa ushirikina nchini. Mikoa inayotajwa sana ni Shinyanga, Tabora, Mwanza, Kigoma, Rukwa, Tanga, Geita, na Simiyu.
 
Barabara hazipo? Tena huo Mkoa inapakana na Nchi 3,why can't you do cross border trade?

Na bahati nzuri,Jamii za watu wanaozunguka Kagara ni Waziri sana Kwa biashara ila why wenyewe watu wa Mkoa huo Wameshindwa kufanya biashara kama Waganda,Waha,Wanyarwanda au Warundi?

No excuses yeyote ni uvivu na majungu tuu
Wewe nimekwambia soma na upite tu sababu huna unachoelewa maana ungekuwa unasoma na kuelewa nilichokiandika usingeongelea hizo cross border trades sababu kwenye andiko langu nimegusia hilo. Hapa siyo level yako kifikra achilia mbali kuishi na kufanya biashara yoyote katika huo mkoa. Waliosema siri ya mtungi aijuae kata hawakukosea.

Ulisoma bandiko la mdau aliyeenda kuuza mahindi yake huko NFRA Songwe? Ulielewa alichokiandika na kuomba kwenye maombi yake mawili?

Msome hapo kwenye hiyo link chini na utumie ombi lake la kwanza kwa uchache utapata picha ya kilichopo huko Kagera Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana
 
Lakini sikuwahi kusikia wanalia njaa kwa kushindwa kwenda shambani. Waulize ni kwanini waliachana na kulima chai lakini mkoa wa iringa chai bado inazalishwa na ukijua mikakati iliyowekwa na hii serikali yetu kwa upande wa iringa urudi hapa. Nilipitia document ya uzalishaji wa chai nchini na kufa kwa zao la chai katika mkoa huo ilionesha kwa huo mkoa chai ilikuwa inazalishwa kwa wingi mpaka shule za msingi na sekondari zilikuwa na mashamba yao ya chai wanaingiza pesa. Waulize ni kwanini kwasasa hata hizo shule ambazo ni za serikali ziliachana na kutelekeza hayo mashamba na zile zilizokuwa na mashamba ya kahawa ni kwanini waliachana na kuzalisha pia.
Wana mental slavery wakiamini makaratasi waliyokariri in the nam of degree itawaletea maendeleo eg Tibaijula Juzi anasema ana degree 15 Sasa mtu wa hivyo unaona zinamtosha kweli?
 
Unajifunga mwenyewe, umeweka ushahidi dodoma ya kwanza ya pili Arusha, kwenye attachments zako halafu sasa kwenye post yako umekosea kuandika eti DSM ndio yakwanza
Umekurupuka.

Hizo takwimu haziko kwenye ascending order Bali uchambuzi wangu ndio nimeweka in ascending order Kwa kuangalia Ukubwa wa namba au value ya Pato la Kila Mkoa.

Dodoma hata kama ni kwenu haipo kwenye list na kesho jiandae kulia zaidi maana kwenye per Capita income Iko top 10 ya Mikoa maskini zaidi Tanzania 😁😁

Mrembo bila shaka umenipa.
 
Haya gentlemen
 
Back
Top Bottom