Ngoja nikueleze kitu usichojua kagera naifahamu yote, hiyo miradi unayotaja ilitakiwa iwe muda mrefu imeisha mlitengwa na serikali, angalia mfano, serikali wakitaja kanda ya magharibi wanataja katavi, tabora na kigoma, na kanda ya ziwa wanataja mwanza, geita, mara, shinyanga, simiyu hapo ni kwenye maendeleo kwenye kutafuta kura ndio utasikia kagera inatajwa iko kanda ya ziwa, kumbuka kagera ni lango la Burundi kupitia ngara kabanga, Rwanda kupitia Rusumo, Uganda kupitia mutukula, yaani hoja kubwa ni Kwa nini waliiacha nyuma? Nilikuepo kagera kipindi hicho rafiki yangu marehemu kamanda tossi anafanya operation zake kutokomeza ujambazi huko, basi tu tunaposema mkoa una kila kitu inabidi usiachwe kabisa,