Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
- Thread starter
-
- #61
Karibu sana Mkuu, ukitaka kubadili nicheki nikupe kitu originalNgoja nipambane nichukue Samsung. Mimi napenda TV sana.
Hela za kununua magari hatuna. Hata TV nzuri zitushinde?
Str x ni wazuri pia MkuuKwa sisi wenye star x😂😂😂
Sina uhakika ila itakua from 900kSharp 55' inauzaje?
Ubora wake?Sina uhakika ila itakua from 900k
Hili hapa bossModel gani hii Mkuu
Hii ni original ninayo hapa UKUkitaka kubadili nicheki Mkuu nikupe original kabisa
Ubora wake ni mzuri maana inatumia technology ya mjapan,hizi TV hazipo kariakoo labda uagize nje.Ubora wake?
Kwahiyo unataka useme LG anamkalisha Samsung?Hapana si kweli, labda kama ulipata hiyo case sio kwamba vyote vipo hivo, Samsung na LG wote vioo vyao vipo stable sana, na pia kwa OLED series Samsung ananunua kioo kutoka LG yeye anafunga tu body.
Hili hapa bossView attachment 3119229
Ndio maana umenistua, hiyo model hata bongo haijauzwaHii ni original ninayo hapa UK
NeverKwahiyo unataka useme LG anamkalisha Samsung?
Ulinunua wapi Mkuunna tv moja inaitwa AKIM ni mjapani mwaka wa 4 sasa iko mkeka
Anacho sahau LG na Samsung wote teknolojia ya South Korea.Hapana si kweli, labda kama ulipata hiyo case sio kwamba vyote vipo hivo, Samsung na LG wote vioo vyao vipo stable sana, na pia kwa OLED series Samsung ananunua kioo kutoka LG yeye anafunga tu body.
Kweli bossNdio maana umenistua, hiyo model hata bongo haijauzwa
TV ni LG zingine kanyanga.Kila mtu anajibu kulingana na experience yake na bidhaa hizi
Zote TV tu mwenye Hisense, Samsung, LG sema tu kila mtu ana brand anayoipendaTV ni LG zingine kanyanga.