Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Mi najipanga mwisho wa mwaka niokote Nanocell maana ule unyana ni balaa quality ya kioo chake ila nikivunja najua sio chini ya laki 5 pale
Inategemea mkuu, watanzania akiharibikiwa kitu nyumbani kwake anafanya generalisation kisha kila mtu anamweleza hivo muda mwingine unakuta yeye ndiye aliyekosea matumizi, Hisense wana hizo case ila kwa latest series zao hiyo case haipo sana
 
As long as it’s electronics Unahitaji utunzaji mkubwa.
1:hakikisha Una stabilizer or guard for your friji or tv.
2: hakikisha vitu vyako muhimu vyote vimeunganishwa na hizo guards kwaweli vitadumu ndani.
Tofauti kubwa ya tv ni resolution lkn mengine yote ni majina tu na utunzaji wa umeme na hasa umeme unaorejea baada yakukata huu nihatari sn kwakuunguza vitu
 
Unaijua Evvoli android Tv..?!
 
Well said!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…