Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Huku kwetu,bosi wa TRA anakutwa na bilioni 7,huoni nasisi kuna watu wanaweza?
 
Kwenye huu uzi kuna watu wanadhani baba ndo mtoto kwa mujibu wa picha.
 
Pesa sabuni ya roho.

Aaah we! Mie hata sipendi pesa😂😂
Kama kweli vile 😂
Kwahiyo we ni heri ule ugali dagaa kwenye upendo wa kweli kuliko kula biriani kuku kwenye bora liende?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…