Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Weeeh! Kuna upendo gani wa kweli kwenye taabu🙆🙆
Huo ni uongoooo🤣
Upo nyakati za taabu ndio kithibitisho tosha cha upendo. Raha tule wote alafu kipindi cha shida nibaki peke yangu, hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…