Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Harusi ni tukio la Furaha Sana kwa wanandoa wapya na waalikwa.

Acha wafurahie bhana......pesa zitatafutwa tu.
 
Wakati wengine tunapambana kuongeza mwili
Wengine wanapambana kuupunguza
Dear God 🙄🙄
 
Sifa kibao mtu wenyewe wa duara, sijui kama kule chini ipo au washkaji itabidi wamsaidie!
 
Jamaa analindwa na convoy ya hatari ,kwakuwa anapesa sana aende kurekebisha mwili aondoe mafuta kama alivyofanya Mustafa Hasanali miaka ya 2009 ,nimeona jinsi alivyo hata movement tu shida ,apunguze mwili ili aenjoy ndoa.
 
Jamaa analindwa na convoy ya hatari ,kwakuwa anapesa sana aende kurekebisha mwili aondoe mafuta kama alivyofanya Mustafa Hasanali miaka ya 2009 ,nimeona jinsi alivyo hata movement tu shida ,apunguze mwili ili aenjoy ndoa.
Huyu Anant shida sio tu unene ana maradhi mengine pia nadhani ni pumu kama sikosei na dawa anazotumia zinamletea unene
Alishawahi enda kurekebisha mwili akapungua mnoo km miaka kadhaa imepita...ila umerudi tena kwa kasi ya ajabu
Yaani huyu kwa pesa alizo nazo kama mwili mdogo ungekua unauza angeka ameshannua
Namuonea huruma sanaa
Nikiangalia Kale kamkewe Radhika kukubali kuolewa nae ni kwa sababu tu ya wenzetu wenye hela hafu wahindi ndoa zao nyingi za kujuana zinapangwa kabla yaa....na wenzetu wanaheshimu mnoo wazazi wao hvyo hakuna namna kazima aolewe tu na atabasamu ila kazi anayo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…