Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mtu Tajiri kama yule, kwa uwiano ni sawa na mtu wa kipato cha kawaida kutumia milioni kumi kwenye harusi. Pia Huyo Mukesh ndie mmiliki wa nyumba ya kuishi yenye bei kuliko zote duniani usd 1 billion ( 2.5 trillions)
hiyo hela ni nyingi sana hiyo 26b anayolipwa justin bieber ni nyingi mno.
Huyo tajiri pesa ipo asee.
 
Mkuu usijudge kwa muonekano wake wa nje, wahindi ndoa zao zinadumu.
Ni vile wanaficha ficha siri tu na wepesi kufa na tie shingoni lakini hao jamaa duniani ndiyo wanaoongoza kwa kugongeana

Muhindi hata mke akigongwa anajua kabisa ni kosa lake kama hilo bonge nyanya unadhani siku likigongewa litaanzisha mtiti?moja kwa moja litajua kushindwa kumkaza mkewe kisawasawa ndiyo kisababishi
 
Wengine kwa siku tunaishi kwa buku nne, vocha jero, mihogo ya jero asubuhi, mchana tunainama, usiku tunashiba vya kutosha.

Nb.
Mbona mtoto wa tajiri bonge nyanya sana.
Wahindi na waarabu ni jamii inayopenda ufahari sana sana. Hata hadithi nyingi za wafalme na watwana zina chimbuko lake kutoka kwenye hizi jamii. Wana tabia ya kufanya mambo ya kifahari ili waonekane. Halafu wako nyuma sana kwenye kutoa misaada ya maana kwa wengine.
 
Haohao ndio watatumbuiza kwenye harusi ya Nyamwi255 wiki ijayo
 
Hayo matumizi ya pesa kama mimi mzazi nisingetumia kwenye harusi ya bonge nyanya kama hilo!

Muda wowote huyo mwanamke ataveshwa nje ilibidi kwanza aanze na kumnunulia zana za kupiga tizi kuondoa minyama uzembe hiyo iliyokusanyana mwilini.
Kama mobeto alikula chuma kwa lile jamaa lenye tumbo kama mfuko chezea hela weww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…