Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Kwa uhakika kama wanakujua vile, punguza shobo
 
Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mtu Tajiri kama yule, kwa uwiano ni sawa na mtu wa kipato cha kawaida kutumia milioni kumi kwenye harusi. Pia Huyo Mukesh ndie mmiliki wa nyumba ya kuishi yenye bei kuliko zote duniani usd 1 billion ( 2.5 trillions)
Kwamana Nyumba ya Ambani ni sawa na utajiri wa Mwamed wa Simba?
 
Hana Six packs ni umasikini
 
Lakini uliwahi kusema mwaka fulani wewe hupendi gobole kama silaha ya kujilinda.

Unapenda zaidi Shotgun, hivyo mambo yasingekuwa mabaya Kwa huyo Rick Ross wa KiHindi 😜
Tatizo sio gobole tatizo ni je inainuka na inakaa muda gani ikiinuka hapo ndo penye utata kwa kumtizama huyu hata inuka yake ni ya tabu sana
 
πŸ˜…πŸ˜‚ dah wenye miili hiyo ndio kimoko chali?
Hujawahi jiuliza kwanini wanawake wengi wanapenda wanaume wasio na vitambi?. Misuli ya tumbo ina mchango mkubwa kwenye ufanyaji ngono kwa mwanaume.

Ni sawa na kalio kwa mwanamke wakati wa kujifungua. Ni nadra kukuta mwanamke mwenye kalio kupata changamoto ya kujifungua.

Subconcious mind za wanawake zinawafanya wapende wanaumehao sawa na subconcious mind ya wanaume inavyowafanya wapende wanawake hao.

Utakuta mtu anauliza sasa kalio linafaida gani kwenye sex, ni kweli faida ni ndogo ila subconcious ya mwanaume ipo kwenye uwezo wa huyo mwanamke kujifungua uyo mtoto kama ikinasa.

Same kwa wanawake na wanaume wasio na vitambi. Ukichunguza watu wembamba wanapendwa na wanawake wengi na hao wanawake wanaimani kubwa kwao hasa kwenye ngono.
 
Tatizo sio gobole tatizo ni je inainuka na inakaa muda gani ikiinuka hapo ndo penye utata kwa kumtizama huyu hata inuka yake ni ya tabu sana
Hahahaha...................umefanya nikumbuke jambo fulani miaka Kenda iliyopita πŸ˜…

Kumbe pamoja na hela za Vocha tunazowapatia, kumbe still Wanawake mnataka kuona Value for Money ya mtoaji wa hiyo hela yenyewe πŸ™Œ

Ukiwa unasuasua kunyanyuka, huchelewi kuambiwa Baba Jeni bye bye πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…