Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Kuna namna mtu ukijiachia mwili kuwa bongeee unaonekana mkubwa kuliko umri wako. Bwana harusi bila kuandikwa umri wake ningejua ni mtu mzima umri umesonga kumbe wala hata.
Ndio maana sipendi ubonge nyanya, automatically unazeesha kama sio kuwa mzembe.
 
Nmekuelewa vyema kabisa mkuu, kumbe kalio lina msaada sana kwenye kujifungua, fafanua kidogo mkuu nipate maarifa.
 
Naam ni trh 13
12 send-off na 13 wedding ceremony
Kila la heri mkuu
Bilionea lugano alikuwepo?
Bilionea wa jf sidhani kama alipata mwaliko.
Na group la michango unawekwa kwa lazima..
Ndio utaratibu tuliojiwekea ila naona sio sahihi, kuoa ni ishu binafsi sana kuanza kuangaika na jamii. Sherehe ndio chanzo cha yote.
Maza enu naye atahudhuria?
Sijui mkuu
Pesa haijifichi, ukiwa nayo lazima ionekane hata uifiche vipi.
kweli mkuu pesa haiongopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…