Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #121
Wewe na nani😂Tupo wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani😂Tupo wawili
Ndio maana sipendi ubonge nyanya, automatically unazeesha kama sio kuwa mzembe.Kuna namna mtu ukijiachia mwili kuwa bongeee unaonekana mkubwa kuliko umri wako. Bwana harusi bila kuandikwa umri wake ningejua ni mtu mzima umri umesonga kumbe wala hata.
Ndivyo yalivyo dada kafia kwa bonge lake.Sema ndo mapenz bana
Nmekuelewa vyema kabisa mkuu, kumbe kalio lina msaada sana kwenye kujifungua, fafanua kidogo mkuu nipate maarifa.Hujawahi jiuliza kwanini wanawake wengi wanapenda wanaume wasio na vitambi?. Misuli ya tumbo ina mchango mkubwa kwenye ufanyaji ngono kwa mwanaume.
Ni sawa na kalio kwa mwanamke wakati wa kujifungua. Ni nadra kukuta mwanamke mwenye kalio kupata changamoto ya kujifungua.
Subconcious mind za wanawake zinawafanya wapende wanaumehao sawa na subconcious mind ya wanaume inavyowafanya wapende wanawake hao.
Utakuta mtu anauliza sasa kalio linafaida gani kwenye sex, ni kweli faida ni ndogo ila subconcious ya mwanaume ipo kwenye uwezo wa huyo mwanamke kujifungua uyo mtoto kama ikinasa.
Same kwa wanawake na wanaume wasio na vitambi. Ukichunguza watu wembamba wanapendwa na wanawake wengi na hao wanawake wanaimani kubwa kwao hasa kwenye ngono.
😂 yaani hapo ni pesa tu
Kuna hela kuzidi huko alipoolewa?Pisi kwao pia kuna hela achen kuropoka vitu hamvjui
Kila la heri mkuuNaam ni trh 13
12 send-off na 13 wedding ceremony
Bilionea wa jf sidhani kama alipata mwaliko.Bilionea lugano alikuwepo?
Ndio utaratibu tuliojiwekea ila naona sio sahihi, kuoa ni ishu binafsi sana kuanza kuangaika na jamii. Sherehe ndio chanzo cha yote.Na group la michango unawekwa kwa lazima..
Sijui mkuuMaza enu naye atahudhuria?
kweli mkuu pesa haiongopiPesa haijifichi, ukiwa nayo lazima ionekane hata uifiche vipi.
Ujumbe umefika mkuu.Nimejua habari zinachelewwga kutolewa humu wiki iliyopita mitandao mingi ilitoa huku nilep ndio mnajua,asante jwa taharifa
Ni kweli tajiri, upo sahihi.Habari za tajiri muulize maskini.
Matured kivipi?Ubonge nyanya wake nimeupenda upo very matured. 😂
We umependa umilionea usinizugeUbonge nyanya wake nimeupenda upo very matured. 😂
Na rafiki yanguWewe na nani😂
Hata mimi ningeendaWe umependa umilionea usinizuge
Weeew! Umeambiwa ni totoo ya bilionea, unauliza nini tena.🤣Matured kivipi?
Mimi je😅😅 tabasamu lingekuwa mwororo zaidi ya huyo bi harusi wakeHata mimi ningeenda
No no! Milioni ake can't buy love🫣. But it can pay ingredients za love😂.We umependa umilionea usinizuge
Kwanza unene wake haukeri, ngozi yake ni laini inaonekana tuMimi je😅😅 tabasamu lingekuwa mwororo zaidi ya huyo bi harusi wake
🤣🤣🤣 Unafata Dunia ilipo .Hata mimi ningeenda